Naomba mnisaidie kujibu swali husika;
(a) Mvua za masika, mvua za vuli, mvua za upepo.
(b) Mvua za myuko, mvua za milimani, mvua za mseto.
(c) Mvua za hapa na pale, mvua za mjini, mvua za mawe.
Wanafunzi wenye diploma hawatopata mikopo, wenye umri zaidi ya miaka 30 hawatapata, waliosoma shule binafsi hawatapata mikopo, watahiniwa binafsi hawatapata mikopo na mbaya zaidi hata wale...
Dogo kachuguliwa Chuo cha Uhandisi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam lakini amekosa mkopo. Hivi ada ya UDSM kwa upande wa Engineering ni kiasi gani kwa sasa?
Wana wa JF habari,
Kama kuna mtu anayemfahamu Ndg. EDSON MWAKYOMBE mwanafunzi wa chuo ambaye alitoka kwenye gazeti la Mwananchi akilia baada ya kukosa mkopo naomba anitumie mawasiliano yake kuna...
Sera ya elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne imechangia kwa kiasi kikubwa kwa wanavyuo kukosa mkopo
Pesa ambazo zingetumika kugawa mikopo ndo hizo hizo zimegharamia elimu bure...
Mh.Waziri wa Elimu kwa heshima na taadhima mpangie kazi nyingine mkuu huyo wa chuo, ana wanyanyasa watoto wetu.Wanafunzi wameripoti mwanzo wa muhula, hawajapewa magodoro na huduma ya chakula...
Bodi ya mokopo ya elimu ya juu imeanza kutoa mikopo kwa waombaji wenye uhiitaji maalum. Hii itajumuisha mayatima wenye kutoka familia duni ppamoja na wenye ulemavu. Kama haupo kwenye category...
Ni takriban wiki kadhaa sasa vijana wetu vyuoni wanahangaika huku na kule kuona namna watakavyopata msaada wa amakupata mkopo au kufungasha virago kwenda nyumbani.Najiuliza katika hili nani wa...
Ni mwanafunzi mwaka wa kwanza. Kwenye ile orodha ya kwanza alikuepo, orodha ya pili imetoka hayupo!
Je, huu ni ujanja wa board ili kuweka watu wao (hapa rushwa ina nafasi kubwa na vyeo vya wazazi...
Habari zenu
Diploma maalum ya Ualimu wa sekondari(ODSE) iliyokuwa ikitolewa UDOM hapo awali imefutwa au la?mwaka huu sijaona taarifa ya utumaji maombi kwa waliotaka kujiunga.
Kwa mwenye taarifa...
Waungwana ningeomba kujuzwa Kwa yeyote anayejua chuo cha nursing kilichopo ndan ya mkowa wa daresalaam
Nitashukuru kama nitajulisha mahara kilipo na kama itawezekana na ada yao pia
Maana mdogo...
Katika kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi Bungeni mjini Dodoma, Naibu Spika Tulia Akson ameitaka serikali ije kutoa kauli juui ya suala tete la mikopo kwa wanavyuo.
Sasa hapa sijajua ni...
Habari wana jukwaa.
Wakuu naomba msaad kama mtu anafahamu taratibu za kufuata baada ya kupoteza academic certificate ya form four na inahitajika original kwenye registration chuon first year...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.