Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wenye uhitaji waliokosa kwa mwaka 2016/2017

mamba1

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
470
247
Hatimaye bodi ya mikopo yawapa mikopo wanafunzi wote wenye uhiitaji na majina yataaanza kutolewa jioni hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo alipokuwa akihojiwa na clouds radio fm . Tusubiri tuone inakuweje.
 
Hatimaye bodi ya mikopo yawapa mikopo wanafunzi wote wenye uhiitaji na majina yataaanza kutolewa jioni hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo alipokuwa akihojiwa na clouds radio fm . Tusubiri tuone inakuweje.
Ni kwa wale wenye uhitaji tuu ( yatima na kilema)
 
Kwa hiyo unajifurahisha kuandika hiyo habari? kuna yatima ana Div 1 kakosa mkopo alikuwa asome chuo cha vipanga UDSM analia machozi kwa ndoto yake kukatishwa halafu wewe unaleta siasa? ndio maana Juma Mahararage anasema anashukuru uchumi umeongezeka kumbe umepungua.
Sijifurahishi sasa kulia kwenye gazeti ndo apewe mkopo? Nchi haiendeshwi kwa kulialia kwenye vyombo vya habari unasikia kaka? Hiyo habari imesomwaa baada ya kusomwa ndio akahojiwa huyo mkurugenzi wabodi ya mikopo. Na akasema wale uhiitaji watapangiwa leo sasa kujua kama amepata au hajapata mm sijui? Au ulitaka nikwambie amepata nawewe ukalielie kwenye magazeti ili upatr.
 
Habari zenu waungwana ,nataka kujua kuhusu pc mwenye mazingira magumu kwenye kukuta rufaa je kunauhakika was kupata au ni ndoto za alinacha.
 
Mi nauliza hiki kigezo cha YATIMA & VILEMA hivi ni sawa na wasio na kigezo hicho na ni watoto wa maskini tufanye nini ???!!!

Serikali ijipange kusomesha watoto wote bila ubaguzi
 
Back
Top Bottom