Yohane leonard
Member
- Oct 22, 2016
- 47
- 29
wale continous allocation zao zimetoka lkn kama ulisup...au ulishikwa hata coursework moja mkopo haupo labda batch inginee
Hahahahaa! Wanafunzi utawajua tu!we mtoto wewe kweli imetoka????
continousKwani inatokaga mara ya pili tena?
continous
Continuingcontinous
continousContinuing
Taarifa hizi umezipata wapi na unaangalizia wapi?wale continous allocation zao zimetoka lkn kama ulisup...au ulishikwa hata coursework moja mkopo haupo labda batch inginee
Hakunaga Continous Students bali kuna Continuing Students.continous
mmm wanafunzi utawajua tuTaarifa hizi umezipata wapi na unaangalizia wapi?
ntakudunda ujue...huo mkopo ni continous😀😀😀Hakunaga Continous Students bali kuna Continuing Students.
mmm wanafunzi utawajua tu
lima baba tuje tule oteHahahahhaha! Mi nilishamalizaga kitambo,nipo najipiga na kilimo baada ya kukosa ajira.
Hahhahaaha! Sawa mkuu! Usingenidunda na ule mchezo wetu ingekuwa poa sanantakudunda ujue...huo mkopo ni continous😀😀😀
aseeeecontinouus muangalieee ila km ilishkwa sup hata moja jina halijatoka...ko jitathimin af ww mm sio mtoto hzo kauli zakooo futa
😀😀😀Hahhahaaha! Sawa mkuu! Usingenidunda na ule mchezo wetu ingekuwa poa sana
Aya mama,we maliza tu hapo MU uje tuzipige.lima baba tuje tule ote