Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani choo cha stendi ya daladala pale Morogoro mapato yake yanadhibitiwa kweli? Au ni kuwanufaisha wakusanyaji mbona hakuna risiti pale na ukipewa risiti unapewa iliyopita muda wake kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
725 Views
Nipo ndani ya gari yao iliyotoka Moro saa 1630 kuja Dar. Nimeipenda Burr hii gari. Ac nzuri, mziki wa taratibu, USB charging system alafu mwendo mzuri. Safi sana. Sio gari ikikata kona na wewe...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba mwenye ufahamu wa hii is it worth it? ≠====== TCCIA Investment Company envisages to raise 45bn/- through initial public offer in six months beginning February 1st. Je TTCIA ni potential?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
55 Reactions
102 Replies
14K Views
:israel:Wana JF; Mimi na wenzangu tumeamua kutafuta eneo la kilimo maeneo ya Chalinze, kama kilometa 10 - 15 kutoka pale Chalinze mjini. Mipango yetu y amuda mrefu ni kufanya kilimo cha mazao ya...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Mgololo Mufindi kuna kiwanda kikubwa cha karatasi na Mufindi kuna mashamba makubwa ya miti yanayoongoza Afrika yote lakini chakushangaza materials zote produced zinakua exported to Kenya then From...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
kwenu wana jf...nina idea za biashara, bt sijui jinsi ya kuandika business proposal. mchango wa mawazo ya jinsi ya kuandaa business proposal. Help mi out hea.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka kujiunga na gpsa ...... any assistance appreciated thanks On office supply and stationary field
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Hili swala la machinga kuzagaa kila penye upenyo katika miji mbalimbali halitaifikisha nchi hii mbali kiuchumi. Tuchukue mfano wa nchi kama Rwanda ambayo umekuwa na utaratibu mzuri wa kuwatengea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mwenye uelewa anisaidie. Naomba kujua gharama za kuchimba kisima chenye urefu (kina) cha mita 85 katika wilaya ya Mkuranga maeneo jirani na kimanzichana. Natanguliza Shukrani Tougher...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Wakuuu,nimejaribu kupitia nyuzi mbalimbali zinazohusu power tiler lakini nyingi ni 2012 kurudi nyuma. Pia watu wengi wameshamaliza mizigo hiyo. Sio kwamba hazipo mtaani,zipo ila bei si rafiki...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari zenu jamii, Naombeni mawazo yenu na ushauri, Nina laki 3 nimepata nataka hii pesa ispotee tu kwa matumizi mbali mbali ni biashara gani naweza invest kiasi hichi kidogo na ikawa inazaa.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Since we all know that in each economic fluctuations there's a business opportunity or idea can up. However as for our current situation here in tanzania what kind of business can succeed...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba kwa anayefahamu vizuri juu ya biashara ya hisa anijuze juu ya faida na hasara zake na jinsi ya kununua na kuuza.NB je makampuni ya cm nayo yamekwisha orodheshwa kwenye soko la hisa la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kimsingi nimechoka kuwavumilia CRDB katika huduma yenu ya Automatic Teller Machine (ATM) ambayo imekuwa ni jambo la kawada kwa Benki hii kukata mtandao katika ATM kuanzia mida ya saa kumi na mbili...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
By Charles Nduku Wajasiriamali wengi wamekuwa wakidhani ubunifu ni kada ya watu fulani wenye elimu kubwa ya chuo kikuu ambao ndiyo hasa wanatakiwa kuuishi. Wanasahau, neno ubunifu linasimama...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana bodi, Nimejaribu kufuatilia kwenye website ya wizara ya maliasili na utalii kuhusu muongozo wa kuanzisha zoo ila sijapata. Naomba kujua namna mfumo mzima wa kuanzisha zoo. Gharama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama ni mtazamaji au msikilizaji wa clouds fm na clouds tv utakuwa umeshaona kampeni mbalimbali ambazo hawa jamaa huzianzisha,kuzipigia debe sana mpaka zinaingia vichwani mwa watu ktk jamii. Iwe...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…