Biashara ya hisa

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
918
525
Wakuu naomba kwa anayefahamu vizuri juu ya biashara ya hisa anijuze juu ya faida na hasara zake na jinsi ya kununua na kuuza.NB je makampuni ya cm nayo yamekwisha orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar?
 
Back
Top Bottom