Biashara gani naweza kufanya kwa shs 300,000?

new g

Member
Mar 7, 2013
7
1
Habari zenu jamii,

Naombeni mawazo yenu na ushauri,

Nina laki 3 nimepata nataka hii pesa ispotee tu kwa matumizi mbali mbali ni biashara gani naweza invest kiasi hichi kidogo na ikawa inazaa.
 
Back
Top Bottom