Hongera BM Coach

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,820
2,479
Nipo ndani ya gari yao iliyotoka Moro saa 1630 kuja Dar. Nimeipenda Burr hii gari. Ac nzuri, mziki wa taratibu, USB charging system alafu mwendo mzuri. Safi sana. Sio gari ikikata kona na wewe unakata viuno au ikitaka kulipita gari lingine abiria ndio mnaofunga brake.
God bless us tufike salama
 
Mchaga anampamba mchaga mwenzie.Isije ikawa ww ni sehem ya BM Coach
 
Tusiwe wabaguzi na wenye wivu mbaya, mtu akifanya vizuri tumpe sifa ambayo ni haki yake.
Hizi bus za BM COACH ziko vizuri sana , ni kiyoyozi mwanzo-mwisho , wafanyakazi wenye nidhamu mwendo unaoridhisha na usalama wa hali ya Juu.
 
Back
Top Bottom