Naomba msaada wa kujiunga na GPSA

sirdelta

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
306
82
Nataka kujiunga na gpsa ...... any assistance appreciated
thanks

On office supply and stationary field
 
habari wana jukwaaa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa manunuzi wa serikali i mean GPSA tafadhari 0753350789
Ukihitaji kuomba kutayarishiwa tender doc ili uingie GPSA kwa ajili ya kufanya kazi na serikali na taasisi zake, tafadhari wasiliana nasi: 0692138944
Ila kwa yeyote anayehitaji kuingia GPSA atajisajili pale wao GPSA watakapo tangaza fursa hizo (invitations), na kwa mwaka huu si muda mrefu watatangaza..zikitoka tu, nenda kanunue vitabu vya zabuni kwa kadri ya shughuli zako kama ni huduma au kusupply bidhaa fulani....jambo la msingi lazima ujue vigezo vyao, andaa tena kiushindani, la utakosa. Pia omba mikoa mingi sio mkoa mmoja tu, na huo ndo ujasiliamali...unaweza pata mikoa kadhaa ili kuwa na chance ya kupata sehemu nyingi zaidi....pia ombea gpsa shughuli zaidi ya moja ili kutojibana.

kwa ushauri zaidi na kusaidiwa kufanya hayo kwa niaba; wasiliana nami 0692138944
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom