cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Mgololo Mufindi kuna kiwanda kikubwa cha karatasi na Mufindi kuna mashamba makubwa ya miti yanayoongoza Afrika yote lakini chakushangaza materials zote produced zinakua exported to Kenya then From Kenya na nchi zingine tunanunua karatasi for final use.
Swali langu ni kwanini Kiwanda cha karatasi Mufidi hakiuzi karatasi Tanzania hasa zile za kaki zinazoweza tumika kama packing paper sacks wakati viwanda ya chai vya Tanzania vinaagiza paper sacks toka nje.
Kwanini hatuna kiwanda Tanzania cha kutengeneza karatasi nyeupe na kama kipo kwa nini kisipewe nguvu tukaachana kabisa na kuimport karatasi kabisa.
Kuelekea Tanzania ya Viwanda kweli kuna hatua zozote serikali imechukua kufuatia hali hii? au kuna ugumu gani hapo.
Naomba muongozo