TTCIA ipo na shares?

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Naomba mwenye ufahamu wa hii is it worth it?
≠======
TCCIA Investment Company envisages to raise 45bn/- through initial public offer in six months beginning February 1st.

Je TTCIA ni potential?
 
Kujua Potential ya Kitu Soma Prospectus yake (Waraka wa Matarajio), huku ukizingatia kuwa Kuna risk kwa biashara yoyote.
 
Back
Top Bottom