Naomba kujua njia za kufuata katika kuanzisha zoo Tanzania

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,814
6,513
Habari wana bodi,

Nimejaribu kufuatilia kwenye website ya wizara ya maliasili na utalii kuhusu muongozo wa kuanzisha zoo ila sijapata.

Naomba kujua namna mfumo mzima wa kuanzisha zoo.


Gharama zake zikoje kwa maliasili (kulipia wanyama)

Kwa uzoefu ni eneo kiasi gani lahitajika(recommended) kwa ajili ya kuanzisha Zoo.

Vigezo gani vya jumla serikali inataka ktk uanzishwaji wake


Asante.
 
Ukihitaji eneo Nitafute, lipo eneo la zaidi ya Hekari 50 lipo Ruaha National park,eneo ilo wanyama wengi pia hua wanafika.bei Nzuri kabisa
 
Huwezi anzisha zoo Tanzania bila kumwona Wasira au at least upate picha yake.
 
Back
Top Bottom