Uchimbwaji wa borewel

WPT

Member
Apr 19, 2016
20
6
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..

Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula chenu, naombeni mtambue njaa niliyonayo..
Njaa kubwa niliyonayo ni ya kutaka kujua gharama za uchimbaji wa borewel katika maeneo ya kiluvya, au hata sehemu yoyote jijini dar es salaam.
Pia naomba kujua gharama za upimwaji wa ardhi kuangalia uwezekano wa uwepo wa maji.

Akhsanteni wana jamvi..
Natumaini Ntashiba...
 
Kwanza uwe specific kwenye eneo unalotaka kuchimba.Gharama ya survey hapa Dar ni 500,000 -800000 kutegemea na umbali toka mjini. Gharama za uchimbaji zitategemea taarifa ya survey. Nakushauri kwanza fanya survey.
 
Back
Top Bottom