Hisa za laki 3 inawezekana?

msocial

Member
Dec 16, 2016
78
42
eti wataalamu naweza kununua hisa za laki 3 au mpaka bulk money pekee maana nimekosa pa kuzipeleka kwa sasa
 
nipo dar, kampuni yoyote ile ambayo haizingui, crdb, twiga cement, etc
Ila biashara haina tija hiyo, labda kama kuna kampuni mpya zinaingiza hisa sokoni, zinafanya IPO wanasema ndio italipa, ila sio biashara yenye tija kihivyo ni afadhali uweke hata M Pawa ulipwe 5% interest kwa mwaka kama hela yako haina kazi
 
aweke mpawa kwa riba ya asilimia ngapi kwa muda gani!!!!? ushauri wa mtu anaetumia miraa huu
 
Nimesikia EFC wanatoa 18% kwa mwaka regardless ya amount ni bora ukawape hao EFC kuliko kununua hisa au kawekeze hata hisa za kwenye vicoba
 
Back
Top Bottom