boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Wakuu,
Hiki kitu huwa najiuliza sana, kwanini Tanzania hatuwezi kufanya kazi kwa vikundi na vikafanikiwa sana, ninachozungumzia hapa ni ndugu au watu mmekutana mkaanzisha kundi na mkatafuta fursa mkafanya kwa pamoja.
Yaani from the zero to hero, nimejaribu kuunganisha watu mbalimbali ila mwisho wa siku mnakutana na mnapanga vizuri mnachagua viongozi, mradi unaweza ukafa kwenye kuchangishana au mmefanya mradi mmoja baada ya kupata faida mradi unakufa hapo hapo.
Hata ndugu pia ni Mara chache sana kukata ndugu wa kitanzania halisi (wabantu) wanafanya shughuli ya pamoja na wakaendelea miaka 10 hadi ishirini lazima watagombana, tofauti na watu kutoka nchi nyingine kama India, na nchi za kiarabu au mabara mengine au hata majirani zetu Kenya wao wanaweza kuendeleza miradi ya pamoja
Wazoefu wa biashara na wataalamu naomba mniambie tatizo hasa ni nini, kwa nini Tz, tuanzie hapo kwanza