Johntest Member May 11, 2016 32 20 Feb 9, 2017 #1 Ninapapenda sana Kampala. Nataman kujua watu wa pale wanahitaji nini kutoka Tanzania ili niifanye biashara hyo. Msaada please!!
Ninapapenda sana Kampala. Nataman kujua watu wa pale wanahitaji nini kutoka Tanzania ili niifanye biashara hyo. Msaada please!!
shushushu VIP JF-Expert Member Jul 24, 2016 4,799 4,312 Feb 9, 2017 #2 Biashara nzur ni kuuza ungaa wa sembe na donaa hata ulezi piaa
Johntest Member May 11, 2016 32 20 Feb 9, 2017 Thread starter #3 Seriously kaka? Hyo business inalipa kule mkuu?
shushushu VIP JF-Expert Member Jul 24, 2016 4,799 4,312 Feb 9, 2017 #4 Hapo ni kusafirisha kwa magari kupitiaa kageraa