jamshidamri
Member
- Aug 27, 2015
- 79
- 27
jamani kuna maswali naomba kuuliza kuusu hizi share...hivi tunaponunua IPO baada ya hapo hela si zinatumika kama mtaji na ss tunapewa sehemu tuu ya umiliki inayobaki DSE tukibaki tunauziana wenyewe kwa wenyewe sasa swali langu ni kuwa huku kupanda na kushuka kunasabiswa na nini..?maana naona km hakuna mahusiano kati ya real capital na share market..?
swali la pili ni kama upande wa dividend hutolewa mara ngapi kwa mwaka maana naona vitu kama INTERIM,QUOTER NA FINAL financial statement nashindwa elewa...kwa wenye uelewa naomba wanijibu..
pia nilikuwa naangalia finacial statement ya SIMBA CEMENT naona kuna share mbili tofauti kama ifuatavyo EARNING PER SHARE NA DIVIDEND PER SHARE ipi inayogawiwa hapa?