ubao ink
Member
- Feb 5, 2017
- 7
- 2
Habari wakuu naipenda JF naona ni jengo la maarifa.
Kuna mtu aliniambia nisipende kuweka fedha zangu bank muda mrefu bila kuziwekeza,vinginevyo zitaathiriwa na kuporomoka kwa thamani ya pesa kusema kweli sikumuelewa kabisa naomba msaada wenu wanajamvi
Nini maana ya kuporomoka kwa thamani ya pesa na inatokeaje..?