Kupanda kwa bei ya unga!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
1. Rais Benjamin Mkapa hadi anaondoka madarakani ktk ile miaka yake kumi unga wa ugali ulikuwa tsh 400/= kwa kilo KWA HAPA DSM

2. Rais Jakaya Mrisho anapokea kijiti unga tunanunua tsh 400/= kwa kilo. adi anakabidhi uongozi unga tunanunua tsh 1200/= kwa kilo.KWA HAPA DSM

3. Rais John Magufuli amechukua uongozi unga tukinunua 1200/= kwa kilo KWA HAPA DSM. uongozi wake una muda takribani mwaka na miezi kadhaaa unga tunanunua 1900/= KWA HAPA DSM

SIJAJUA HADI TUMALIZE NUSU YA UONGOZI WA AWAMU YA TANO UNGA TUTANUNUA TSH NGAPI...........??
 
Hali mbaya, sisi wafanyabiashara wadogo kazi yetu ni kuongeza bei tu kadri wauzaji wa jumla wanavyopandisha, anayeumia sana ni mwananchi wa chini na mtumishi wa umma wa chini.
 
1. Rais Benjamin Mkapa hadi anaondoka madarakani ktk ile miaka yake kumi unga wa ugali ulikuwa tsh 400/= kwa kilo KWA HAPA DSM

2. Rais Jakaya Mrisho anapokea kijiti unga tunanunua tsh 400/= kwa kilo. adi anakabidhi uongozi unga tunanunua tsh 1200/= kwa kilo.KWA HAPA DSM

3. Rais John Magufuli amechukua uongozi unga tukinunua 1200/= kwa kilo KWA HAPA DSM. uongozi wake una muda takribani mwaka na miezi kadhaaa unga tunanunua 1900/= KWA HAPA DSM

SIJAJUA HADI TUMALIZE NUSU YA UONGOZI WA AWAMU YA TANO UNGA TUTANUNUA TSH NGAPI...........??

hata Ukisema nini HAKUNA NJAA. Hatutaki aibu ya njaa njaaa ninarudia tena mwenye uwezo wa kutamka kuna njaa ni Mimi tu!!!!!!!????!!! kama hakuna mahindi na Unga umepanda bei nunueni Muchele!!!!!
 
Kweli ng'ombe WA maskini hazai, akizaa dume na dume lenyewe ndio kama hivyo. Choko tu.

Hatari Sana.
 
Back
Top Bottom