Ni wapi eneo zuri la kufungulia Duka la Samaki jijini Dar?

Msukuma Msomi

Senior Member
Feb 6, 2017
173
149
Habari wadau,

Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuimport samaki kutoka Mwanza, sasa natafuta eneo ambalo nitakodisha fremu. Naomba kufahamishwa eneo ambalo limekaa kibiashara na ni rahisi kupata wateja hasa wa vyakula vya majini kutoka ziwa Victoria.

Bajeti yangu ya fremu ni laki 3 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom