Msaada jamani sehemu ya kuuza haya madini ya Tanzanite kwa Dar

adoclaus

Member
May 17, 2015
20
15
nina madini yangu ya tanzanite mawe mawili moja la zambarau na jingine la kahawia je kwa dar es salaam tanzanite inanunuliwa sehemu gan?nataka kuyauza au mpaka niende arusha?? msaada wenu wadau
 
mmeanza kuja na huku kutangaza mawe / madini feki?? chunga sana dogo
 
nina madini yangu ya tanzanite mawe mawili moja la zambarau na jingine la kahawia je kwa dar es salaam tanzanite inanunuliwa sehemu gan?nataka kuyauza au mpaka niende arusha?? msaada wenu wadau
Umeyapima kwa kutumia kifaa gani hayo mawe ukagundua kuwa ni Tanzanite mkuu?
 
Back
Top Bottom