Nina eneo la ekari moja na kisima kirefu mita 180 chenye maji mengi na safi. pia nyumba 2 kwa uzalishaji. Natafuta partner tuzalishe maji ya kunywa. mwenye interest na ujuzi karibu. nipo Mbezi Makabe Dsm.pm favourable.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.