jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
Tafadhali wakuu wenye uzoefu wa biashara ya kupika na kuuza ubuyu naomba mchanganuo hapa kwa niaba ya wanajf wote.
Mchanganuo uwe kuanzia upatikanaji, mahitaji, viungo, soko, upakiaji nk. Nahitaji kutengeneza ubuyu wangu mwenyewe niuze uwe mtamu kama wa Babu Issa yule wa Zenji tunayemsikia
Tafadhali sana wakuu. Natanguliza shukrani