jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
Hapa pananichanganya sana, bado sijaweza kujua kutambua dollar moja ni sawa na shilingi ngapi ya Tz mana huwa naona watu huandika viwango mbalimbali,
kifupi nahitaji kujua jinsi ya kutambua dollar kadha ni sawa Tsh ngapi mfano mtu akisema nakupa dollar 250 hapo najuaje kuwa hii ni sawa na kiasi fulani cha Tsh nielekezeni wakuu mana hivi vitu vinahusika kila siku.