DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 949
- 1,259
Habari wana JamiiForums,
Nimepata wazo baada ya kufanya utafiti kidogo na kugundua kwamba katika kipindi hichi soko limekuwa tatizo sana kwa kila biashara, kampuni au watu hapa nazungumzia bidhaa zote ikiwemo taaluma kama bidhaa sasa wazo langu ni kuwa nifungue firm ambayo itajiusisha na kutafuta masoko yaani wateja wa bidhaa yeyote mahali popote alafu tuna muunganisha muuzaji au mzalishaji. Sasa tatizo sina uzoefu wala utaalamu kwenye suala la masoko kwa maana ya marketing na pia kujua napataje faida.
Karibu kwa msaada na ushauri