the next pastor
Member
- Feb 3, 2017
- 7
- 5
Naomba msaada kwa anaejua malighafi zinazotengeneza kiberiti cha njiti na gharama za mashine zake na mahitaji yote yanayotakiwa mpaka kiberiti kukamilika. Pamoja na jinsi ya kutengeneza toothpick na mashine vilevike.
Niko serious kama kuna mwenye ufahamu juu ya haya anisaidie.
Niko serious kama kuna mwenye ufahamu juu ya haya anisaidie.