Ubora kati ya mashariki mwa Afrika na Magharibi pake

mashey mash

Member
Feb 12, 2017
32
7
Jameni wakuu,

Ningependa tujadili swala hili kwa umakinifu bila kupendelea upande wowote, hivi kati ya Africa ya mashariki na ya magharibi ni ipi iko katika nafasi nzuri kujiendeleza kimaendeleo ukizingatia uchumi na teknolojia kwa siku zijazo.
 
Back
Top Bottom