Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo hiki pia naomba niambiwe kuwa inauzwaje ? Ikiwa imetolewa.maganda au bila kutoa maganda.Nataka niingie serious kwenye kilimo.......