Wale watumiaji wa ndege dude hilo sasa

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,373
983
Nimeikuta hii picha ya ndege mpya
Ingawa mimi sio mpandaji wa ndege, ila hakika mhe Magufuli tutamkumbuka.
Picha inajieleza.
IMG_20170419_171201_966.JPG
 
Mnaobeza subirini, mimi nishaacha utoto, nina imani na nyinyi mkikua mtaacha ....
 
Pole sana Mheshimiwa. Hiyo ni picha ya 2012 na ni ya Boeing 737 siyo bombardier au dreamliner za JPM
Ni kweli mkuu hiyo picha ni ya mwaka 2012 utawala wa JK ulijaribu kuleta ndege hiyo tena tuwe tunakodisha ila tukashindwa kuimudu.
Kimsingi ndege hiyo haipo tena baada ya sisi kushindwa kumudu kuhudumia gharama zake.
 
Back
Top Bottom