comradempandilah
Member
- Apr 21, 2017
- 5
- 3
Kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba, (a) hakuna hela za rahisi (b) hakuna mafanikio wala utajiri wa chapchap. Ninachokijua ni kwamba ili upate hela, ili ufanikiwe ni lazima (1) ujifunze kwa bidii (2) ufanye kazi kwa bidii. There is no shortcut!
Mlango wowote unaotokea mbele yako unaoonesha kuwa:- utafanikiwa kirahisi, utapata ajira kimtelemko, utapata utajiri ndani ya muda mfupi, utaweka kidogo na kupata vingi pasipo changamoto yeyote, huo sio mlango bali ni "shimo". #*comrade mpandila*