Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,156
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .