MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,623
- 2,773
Hello wana jamii,
Natarajia mnasheherekea salama sikukuu ya wafanya kazi duniani.
Nianze kwa kusema kua sera ya awamu hii ya 5 ni ya viwanda na biashara, nia ya kuanzisha uzi huu ni kwamba kumekua na taka nyingi sana hapa jijini Dar es salaaam na kwa jinsi inavyoonekana jiji letu haliwezi kuitumia hii fursa ya uwepo wa taka za kutoka kuweza zitumia na kua moja ya ajira...
Mimi nimeliwazia hili ili tuweze fanya hii fursa kua biashara nzuri...mfano kuanzisha kiwanda cha kuzifanya recycling na kuzalisha bidhaa mbalimbali na ikiwezekana hata umeme wa taka kwakua joto linalozalishwa pale kwenye dampo za taka si lakawaida...
Kuna mengi yanayoweza tengenezwa kupitia hizi taka wengine mnaweza changia lkn naona kuna fursa hapa kwenye huu uchafu ambao umekua kero katika jiji hili kwa muda mrefu sana.
karibuni wana jamii.