Nini kiliikumba FBME mpaka ikafutiwa leseni? - Lawrence Mafuru aeleza

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69


Siku za karibuni tumepata taarifa mitandaoni na kutoka Benki Kuu ya Tanzania kuhusu kufutwa usajili benki ya kibiashara ya FBME.

Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME Lawrence Mafuru asema tuhuma za kutakatisha fedha na kuhifadhi fedha za kufadhili magaidi na madawa ya kulevya ndizo sababu kuu zilizosababisha kufungiwa benki.
 
Bro Mafuru inabidi ukasalimie wazee, maana kila unapogusa panaanguka. Kiingereza kingii
 
Back
Top Bottom