Mwananchi anayetaka kujenga nyumba ni vizuri kuyajua haya

Jenganajeco

Member
Apr 28, 2017
16
9
Kama unajenga sasa au unataka kujenga ni vizuri kuyajua haya:

1.Kabla hujajenga omba ushauri kwa wataalamu wa ujenzi(Mfano wakandarasi) ili kuepuka kujenga nyumba isio na ubora kuepuka hasara za ukarabati

2.Jua gharama za vifaa vya ujenzi kuepuka utapeli au madalali

3.Wasiliana na mkandarasi wa nyumba yako kabla huja nunua vifaa visivyo sahihi kwa ujenzi wa nyumba yako

4. Pata ushauri kwa Manispa au Mtendaji juu ya viwanja vilivyo na mgogoro au vilivyo kwenye utata kama karibu na vyanzo vya maji au reli. Kupitia JENGA NA JECO tunakuonganisha na wakandarasi wa bei nafuu na vifaa vya ujenzi na kupata ushauri bure.

Kupitia sisi unaweza kupata discount hadi 50% ukajenga kwa gharama nafuu zaidi ya ulivyofikiria au chini ya bajeti uliopanga. Wasiliana nasi kupitia simu: 0684322 333 au 0766 313 300 au Email: jecoarusha@gmail.com
 

Attachments

  • jeco flyer.jpg
    jeco flyer.jpg
    245.1 KB · Views: 92
ushauri ni bure na pia kuna offer ya punguzo la bei hadi asilimia 50 kwa vifaa vya ujenzi (50% discount offer)

Kwa maana hiyo kama mfuko wa cement ni 13,000 mtaniuzia kwa 6,500 ?? au sijakuelewa vizuri..
 
Kwani nyumba uliokulia wewe walipata ushauli kutoka kwa wakandalasi
Ilijengwa kienyeji lakini kwa karne ya sasa hivi kuna changamoto nyingi kama nyufa, kuuziwa material zisizo na viwango au ujanzo uliostahili wa dhamani ya pesa yako. Pia Kupata ushauri kwa mkandarasi bure ni jambo jema kwa sababu nyumba yako itakuwa imara na kuepuka usumbufu kama kubomoka au kubomolewa kwa sababu kama makazi holela,viwanja vya migogoro nk. Pia kupitia sisi unapata offer ya vifaa vya ujenzi hadi asilimia 50 ambayo unakuwa umeokoa pesa nyingi sana na kupata nyumba imara na bei nafuu zaidi na gharama za kumlipa mkandarasi akujenge ni za kawaida kabisa na zakumfaa mtanzania wa maisha ya chini kabisa anaetaka kuanza kujenga. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi
 
Kwa maana hiyo kama mfuko wa cement ni 13,000 mtaniuzia kwa 6,500 ?? au sijakuelewa vizuri..
Sio Bidhaa zote asilimia 50 Nukuu'' Punguzo la bei hadi asilimia 50'' na sio punguzo la bei asilimia 50.
kwa Cement hadi TShs.11,500 utapata
 
Naomba kujua nikitaka kujenga ka gorofa ka chumba kimoja yani chini sebule na jiko,juu chumba self cha kulala, kujenga sehemu ambayo haijapimwa yani squater, je nahitaji kupata kibali!?
 
Naomba kujua nikitaka kujenga ka gorofa ka chumba kimoja yani chini sebule na jiko,juu chumba self cha kulala, kujenga sehemu ambayo haijapimwa yani squater, je nahitaji kupata kibali!?
Kwa hilo ni vyema kuwa taarifu Serikali ya Mtaa au ya Kijiji kukupa muongozo zaidi ya hilo eneo lako unalotaka kujenga
 
Back
Top Bottom