Msaada: Nataka kufungua duka la mahitaji mbalimbali

Jan 4, 2017
16
4
Wadau,

Mimi ninamtaji wa milioni tatu nataka kufungua duka kubwa la mahitaji ya mwanadamu kama chakula na vitu mwingine.

Naomba ushauri
 
Back
Top Bottom