Alfred Masesa
Member
- Nov 2, 2016
- 71
- 146
Dunia tunayoishi imebadilika Sana,karibia kila kitu kinaendeshwa kidijitali ili kuendana na hali halisi ya mabadiliko ya kisayansi na tekinolojia.
Mwaka 2009 January, raia wa Japan Saitoshi Nakamoto alianzisha sarafu ya mtandaoni na kuipatia jina la Bitcoin.
Sarafu ya mtandaoni au cryptocurrency ni pesa halali isiyoshikika mikononi ili kumwezesha mtumiaji asibebe furushi la pesa ktk matumizi yake, Kama tu ilivyo Kwa M pesa na Tigo pesa.
Wakati sarafu ya Bitcoin inaingia sokoni ilikuwa inauzwa $1 Kwa sarafu moja, watu waliidharau Sana na hawakutaka kuwekeza hapo.
Sasa hivi sarafu moja ya Bitcoin ni $1,580 sawa na zaidi ya sh 3,300,000 waliowekeza kipindi hicho leo hii ni matajiri wakubwa,hebu fikiria mtu Kama aliwekeza sarafu 1,000 tu leo hii ana zaidi ya sh bil 3.
Bango la Bitcoin likionekana Kwa mbali ktk moja ya mitaa ya jiji la Tokyo Japan.
Sarafu hiyo ilikuwa ikipanda taratibu hadi kufikia kuanza kugombaniwa na matajiri wa dunia ili kuwekeza Kama kina Bill Gates.
Leo hii ili uwekeze Kwenye sarafu ya Bitcoin ni lazima uwe milionea,na kadri inavyonunuliwa sokoni ndo inavyozidi kupanda bei ,inakadiriwa kuwa hadi mwaka 2020 sarafu moja ya Bitcoin itakuwa sh 20,000,000.
Je? Wewe Kwa sasa unazo pesa za kuwekeza kwenye sarafu ya Bitcoin? jibu ni Hapana.
Sarafu ya AdsCash ni mkombozi wako.
Sarafu ya Adscash imeingia sokoni rasmi mwaka huu 2017 April,kazi kubwa ya sarafu hii ni kutumika ktk biashara za matangazo ya mitandaoni pote duniani.
Wakati inazinduliwa sarafu hii ilikuwa inauzwa moja Kwa $0.025 ndani ya mwezi mmoja tu imepanda bei hadi kufikia $0.041 na wiki ijayo inatarajiwa kufikia $ 0.045.
Sarafu hii inatarajiwa kupanda hadi $4.00 mwaka 2018 march.
Na Kwa kuwa dunia imetawaliwa na biashara, sarafu hii itakuwa na thamani kubwa sana Kwa Sababu tayari makampuni makubwa ya Biashara yameanza kuwekeza kabisa kwenye sarafu hii, na tayari zaidi ya sarafu mil 55 zipo kwenye mzunguko Kati ya sarafu mil 300 ambazo Zipo Kwa kuuzwa, na hii ni ndani ya Siku 27 tu.
Mwamko wa kuwekeza kwenye sarafu hii umeitikiwa Kwa kasi duniani pote ikiwemo na Tanzania.
Watanzania wenzetu jijini Dar wakiwa kwenye semina ya AdsCash, wakiongozwa na mhamasishaji wa Adscash, ndugu Milinga.
Mwandishi wa kitabu cha "Think and grow Rich ".
Uk wa 25,anasema "moja ya vitu dhaifu kabisa Kwa mwanadamu na hataki kuacha kutamka ni neno "HAIWEZEKANI " ukilizoea hili neno mwisho wake ni umaskini tu kwako ,mwanadamu anajua mambo yote yasiyowezekana tu, lakini hajui yanayowezekana". Mwisho wa kunukuu.
Leo hii ukinunua kifurushi kimoja cha Adscash chenye coins (vichele) 1,000 baada ya mwaka mmoja utakuwa na 1,000 X $4=$ 4,000 ambayo ni sawa na sh 8,000,000 Kwa uwekezaji wa pesa kidogo tu.
Ngazi ya mafanikio huwa haijai watu juu, ni mmoja tu hukaa kileleni, hii ni Kwa Sababu watu wengi Tunapenda mafanikio ya Haraka Sana na hatuna subira.
Tumia hii link hapa chini kujiunga na kampuni hii ili ujikomboe na umaskini wa kipato, kujiunga ni bure kabisa, Kwa maelezo zaidi Nipigie au sms whatsapp 0764646211.
Get 100 Adscash for free! Join now