Mabadiliko ya kiuchumi dhidi ya pesa ya Kigeni

Apr 21, 2017
5
3
IMG-20170424-WA0001.jpg
 
Safi sana najua mwaka 2020,itakuwa elf3 au elf4,nadhani na ndio muda muafaka kuanza kuzikusanya dollari sasa na kuzihifadhi.!
 
Kati ya 2010 mpaka 2015 ilikuwa wakati ambao ccm ilionyesha imeshindwa kabisa kubalance mfumuko maana kutoka 1$ - tsh 1260 mpaka 1$ - tsh 2210 sio mchezo na ulikuwa wakati mwafaka kuiondoa madarakani sio mbaya 2020 sio mbali inshalah tutafika...
 
Back
Top Bottom