Biashara zinazidi kudorora, mabenki nayo yanaendeleza kupunguza wafanyakazi.
Gharama za uendeshaji zimekuwa adui wa maendeleo. Mazingira ya uchumi hayaruhusu kuendelea kama zamani.
Tuna wasomi...
Hebu wataalamu naomba mnielekeze kidogo juu ya hili, mbona kila siku tunasikia currency kubwa dunian sijui ni us dollar, mara pound mara euro mbona najaribu kuchek exchange rate ya Oman rial...
1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.
2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na...
Jamani nilitaka nisahau salamu
Asalaam alykum !
Kuna MTU kakata tamaa ya maisha maana kila jambo analofanya haliendi na inafika kipindi anakosa hadi hela ya kula inamlazimu kuazima Pesa kutoka...
D’Day as Tanzania Central Bank Releases Tsh. 500 Billion Into Circulation… D’Day as Tanzania Central Bank Releases Tsh. 500 Billion Into Circulation… | TZ Business News
Tunaomba Muheshimiwa raisi aige mfano wa Ghana kama tunataka kuinua uchumi wetu Kwa kutumia wafanyabiashara wetu na sio kuongeza kodi au kuwabana wafanyabiasha na kusababisha wengine kufunga...
“Katika mafanikio ni ngumu sana kumzuia mtu anaejua wapi anakwenda na nini anakitafuta kwenye maisha yake ”
Na Humphrey Gasper,
Katika maisha watu wengi wanapenda kufanikiwa na sio kutafuta...
Habari za leo rafiki yangu?
Watu wengi wamekuwa wanajiunga na biashara ya mtandao (network marketing) wakiwa na matumaini makubwa sana ya mafanikio. Baada ya kupewa habari za biashara hiyo, na...
Ipakue bure kutoka Play Store na upate notifications za bure kwenye simu yako kuhusu mapunguzo ya bei na promosheni mbalimbali ndani ya nchi au nje ya nchi ( kwa wauzaji wa mtandaoni). DealsHunter...
Habarini wana jamvi,
kwa kuwa naamini jamvi hili ni jamvi makini na kwa kuwa najua hapa ni mahala pekee pa kupata misaada mbali mbali ya kujifunza,kupata uelewa na ustaarabu.
Naomba kuuliza...
Ndugu wana JF,
Nimesukumwa sana kuleta hoja hii hapa mbele yenu baaada ya kuona ni namna gani Uchumi wa nchi unaendeshwa bila kuzingatia maslahi ya nchi.
Kwa sasa Tanzania haina Bodi ya...
TANZANIAS ARTIFICIAL HOUSING MARKET,
HOW LONG WILL IT HOLD - DEBATE!
In the aftermath of the Global economic meltdown, many economists and financial experts have been gripped with criticism...
Ufadhili katika miradi ya sanaa (Artistic projects) kwa kiasi kikubwa hukuza utamaduni wa jamii husika na Taifa kwa ujumla.
Hivyo katika ukuzaji wa utamaduni wa jamii husika, taasisi zilizojikita...
Somo: KANUNI ZA MJASIRIAMALI:
Mwl. Mbise, AJ
E: mbisealex@gmail.com
M: 0762730157
Wasalaam;
Leo tuendelee na somo letu ambapo tunajifunza Kanuni za mjasirimali. Utakubaliana nami kuwa kila...