WilliK10
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 601
- 283
Biashara zinazidi kudorora, mabenki nayo yanaendeleza kupunguza wafanyakazi.
Gharama za uendeshaji zimekuwa adui wa maendeleo. Mazingira ya uchumi hayaruhusu kuendelea kama zamani.
Tuna wasomi wengi hawana ajira, wenye ajira nao wanapunguzwa sasa.
Sijui ndo wale waliokuwa wanaishi kama malaika zamani.
Jadili mwenyewe. Poleni watakaokumbwa na hili.