Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ngoja Niweke Kumbukumbu Sawa Juu ya Wizi Uliofanywa na Acacia. Kuna Mijadala,Matamko na Maandiko Mbali Mbali kutoka kwa Wananchi Wenzetu wa Tanzania Ususani kwa Viongozi na Wafuasi Wa Vyama vya...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Habari zenu wakuu Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo. Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi kwa biashara ya usafirishaji abiria kwa hapa Tanzania? Italipa?
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Jaman kuna jambo tunapaswa kulitambua kuhusu maisha usiku syo muda wa kufanya mapenzi ni mda wa kufikilia kupata pesa kusudi ukiamka hasubui njia uzifanyie kazi ila sisi wabongo hatujui hilo...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
1 US Dollar equals 2238.00 Tanzanian Shilling Jamani Dolla inapanda wala haishuki ama kweli juu kutam.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hivi sasa hivi standard bajet ya harusi ambayo si kubwa na modest ni kiasi gani? naomba mchakato tafadhali
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Tanzania ni moja ya nchi iliyobarikiwa na vivutio vingi sana vya utalii hapa duniani. Kwa utafiti uliofanywa kuna vivutio vingi sana hapa Tanzania lakini bado hatupata mwanya wa kujitangaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu,naombeni ambaye anazifahamu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti anipe,nipo Mwanza,je ninaweza anzia safari huku? Au hadi wapi? Nataka twende huko na mke wangu,nimejaribu kwa...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Ndugu habari ya asubuhi, naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Tozo hii ilikuwa inatozwa na bandari kwa kiwango cha 1.6% ya thamani ya mzigo kwa mizigo ya nchini na 1.25% kwa mizigo ipitilizayo (transit). Kwa sasa tozo hii inatozwa na TRA. Hoja yangu ni kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu zang JF, Naomba nipate malezo juu ya mambo haya: 1.maana ya fixed account 2.faida zake ni zipi ? 3.je hiyo faida hupatikanaje ? kwa mifano itakua poa zaidi.
0 Reactions
1 Replies
44K Views
Misingi Mitano(5) Muhimu Ya Kufanikiwa Kwenye Ujasiriamali na Biashara. Katika ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa ngumu na shida kupatikana, ujasiriamali na biashara vimekuwa ndio...
8 Reactions
8 Replies
9K Views
Njombe — Serious agricultural investments through the Public-Private Partnerships (PPPs) are a panacea towards industrialisation of the country and building a middle-sized economy. Njombe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Wale wote wanaopenda kuWa mamilionea Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika...
9 Reactions
10 Replies
21K Views
*Mark Elliot Zuckerberg* ndiye mgunduzi wa Facebook na mmiliki wa Whatsapp. Mwezi huu wa May, 2017 jarida la Forbes lilimtaja kuwa tajiri namba 5 duniani, akiwa na utajiri unaofikia US$ 63.3...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Although the bias on this pair is bullish, bulls are getting tired of pushing price upwards. Price consolidated last...
1 Reactions
1 Replies
583 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimefikilia kujiajili kwa kufanya uwakala wa crdb lakini bado natafuta information muhimu zitakazo nisaidia ktk biashara yangu mpya maana bado sijawa na uzoefu.Naomba kwa...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Kutoka kwa Abuu Abdillah Tafakari::: Tafakari tena tafakari kwa sababu Umri haurudi unazidi kusonga mbele Leo unamuongelea Ronaldo kuwa na miaka 30 kumiliki utajiri mkubwa hata ww ni wazi...
0 Reactions
5 Replies
857 Views
Back
Top Bottom