Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,909
Ngoja Niweke Kumbukumbu Sawa Juu ya Wizi Uliofanywa na Acacia.
Kuna Mijadala,Matamko na Maandiko Mbali Mbali kutoka kwa Wananchi Wenzetu wa Tanzania Ususani kwa Viongozi na Wafuasi Wa Vyama vya Upinzani Tanzania, Kuwa Acacia ina Mtaji wa Tilioni 10. Tu. Hivyo Watalipaje Tilions 100- 108?.
1. Hiyo Tilioni 10. Ndio Ulikuwa Mtaji Anzilishi wa Acacia hivyo Haileti Maana Kwamba hadi Leo bado Mtaji wao Unazunguka wa Tilion 10!
2. Hiyo Tilion 100-108 Wanayodaiwa Haipo Katika Mtaji wa Kisheria wa Acacia. Bali ni Udanganyifu na Wizi Uliofanywa na Acacia Katika Kusafirisha Mchanga wa Madini Yetu Nje (MAKANIKIA) Ambapo Walikuwa Wanasafirisha na Madini yetu na Sio Mchanga Kama Tulivyokubaliana, Hivyo yale Madini Yaliyokuwa Yakisombwa na Makokontena kwa Miaka hiyo yote Ndio Haki yetu na Hesabu zake ndio hizo. Tilions 100 - 108.
3. Ifikie Mahara Tipende Nchi Yetu bila kujali Wewe upo Upande gani? Naomba tujiulize huu Wizi na Ulaghahi Uliofanywa na Acacia hivi wewe Umekusidianini? Umeisaidia Vipi Sekta ya Afya, elihu na Miundombinu? Kama haujafaidika na Chochote kwa nini huwe Sehemu ya Kulikandamiza Taifa lako na kutetea hao Wanyonyaji Acacia?
4. Nichukuwe fursa hii Kupongeza kwa Dhati ya Moyo Wangu Rais Wetu Mpendwa JPJ Magufuri kwa Moyo wake wa Kizalendo na Huruma yake kwa Wananchi wa Taifa letu la Tanzania .
Mwisho Niwatake Watanzania kwa Umoja Wetu Tumuombe Mwenyezi Mungu Ampe Afya Njema Rais Wetu Mpendwa.
Nimeikuta mahala nikaona inakahoja fulani