Eti mnasubiri trilioni 100 kutoka kwa kampuni yenye mtaji wa trilioni 2 haha mifisi ya ccm bana!!!!!Hii ilitegemewa baada ya mazungumzo na mwenye migodi
Tanzania inamiliki mgodi gani ?Hii ilitegemewa baada ya mazungumzo na mwenye migodi
Una akili sana !Hicho kikao kitakua na siru nyingine kubwa kuliko habari tulizopewa........!
hujui kitu weweEti mnasubiri trilioni 100 kutoka kwa kampuni yenye mtaji wa trilioni 2 haha mifisi ya ccm bana!!!!!
Ludovick Uttoh kawaambia hawajamwelewa!Tanzania inamiliki mgodi gani ?
...Ambapo MSOLOPOGAZ anabaki kuwa MLINZI wa bwana Henry na bwana Good...."Machimbo ya Solomoni"
Anasema RutashubanyumaUsikute tayari tumeanza kulipa faini.
Hicho ndicho kilichomfanya Lawson kuja moja kwa moja mpaka Dsm
Lengo lilikuwa ku-stebolaizi hisa zao katika masoko makubwa ya hisa ya LSE,NYSE nk
The deal is done!!Walionisoma kwenye uzi wangu wa Dr Williamson wa Mwadui na De Beers wataelewa.
Mwaka 1952,Herry Oppenheimer alipanda ndege mpaka Mwadui Shinyanga,aliporudi tu South Africa,soko la Almasi kule London likaimarika.
Hawa ndio Wayahudi,wanaoamini madini yote ya dunia,ni mali ya babu yao Solomon katika "concept" ya "Machimbo ya Solomoni"
Waliacha mbegu yao Afrika,baada ya Malkia ya Sheba toka Ethiopia,kuzaa na Mfalme Solomon kila alipokuwa anakwenda kuhiji Yerusalem