Uchumi wa Venezuela waporomoka, fesha yashuka thamani, hali ni mbaya! Chávez aliboronga.

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta kuliko zote duniani "Venezuela" inakabiliwa na mkwamo kutokana sera mbovu za uchumi.
Thamani ya fedha imeporomoka na hifadhi ya fedha za kigeni ni ndogo sana!

Venezuela's unbelievable currency collapse is getting worse

By Patrick Gillespie June 28, 2017: 11:17 AM ET
Venezuela's currency is in free fall.
Violent protests are growing, the economy is spiraling further out of control and Venezuelans are suffering through shortages of food and medicine. And the bolivar, already worth next to nothing, keeps losing value.
At the beginning of the year, it took about 3,000 bolivars to buy one U.S. dollar. By Wednesday, it took almost 8,000. That's according to dolartoday.com, which tracks the unofficial exchange rate used by most Venezuelans because official rates are considered overvalued.
"I'd describe it as the result of a government that prints money like it's confetti," says Raul Gallegos, senior analyst at Control Risks, an international consulting firm. "The government has simply employed the wrong policies to stay in power."
Government corruption and mismanagement have triggered hyperinflation. Prices are set to rise a staggering 720% this year, according to the International Monetary Fund. The collapse of the economy and currency has driven shortages in food, medicine and basic products like toilet paper.
The country has been gripped by unrest as Venezuelans call for President Nicolas Maduro to step down or hold democratic elections. Since late March, 74 people have been killed and more than 1,400 injured in protests.
Related: Helicopter attack targets Venezuela's Supreme Court
On Tuesday, the crisis escalated when a Venezuelan police officer and a team of accomplices stole a government helicopter and flew it over the Supreme Court, firing shots and lobbing grenades. The police officer demanded that Maduro resign.
Venezuelan lawmakers opposed to Maduro also clashed with national guard officers outside the National Assembly in a dispute involving an upcoming vote on constitutional changes.
Late Tuesday night, Venezuela's Supreme Court justices -- Maduro appointees -- stripped the attorney general of the power to investigate human rights abuses. They gave the power instead to an ombudsman friendly to Maduro.
Venezuela sits on the world's largest oil reserves and was once the wealthiest nation in South America. But since 1999 the government has focused only on selling oil to other countries and abandoned management of other natural resources and critical infrastructure.
Now Venezuela is running out of money. Its central bank only has $10 billion in reserves, which are intended to be a cushion to weather a crisis. In 2011, it had $30 billion.
--Lonzo Cook and Marilia Brocchetto contributed to this report.
June 28
 
kuporomoka bei ya mafuta ni sababu na pia lakin pia wanaadhibiwa na mabeberu coz waliyazngua sana makampuni yao yaliokuwako huko.............ila sidhan km ile leftist government ina uhai sana
 
Mbna unatoa jibu rahisi kwasali gumu?

Ishu ya Venezuela unaijua ikoje?
Mkuu, mimi nimejibu kwa ujumla.
Sababu zipo nyingi za kufanya mtikisiko wa uchumi sehemu husika. Ebu angalia hali ya uongozi ikoje hapo halafu unganisha dots
 
kuporomoka bei ya mafuta ni sababu na pia lakin pia wanaadhibiwa na mabeberu coz waliyazngua sana makampuni yao yaliokuwako huko.............ila sidhan km ile leftist government ina uhai sana
Tunalo la kujifunza kupitia makinikia.

Maana kama mafuta ni mali basi Venezuela wanayo mengi kuzidi nchi yoyote duniani!!

Mikurupuko dizaini ya Hugo Chavez haitofautiani na ya huyu wa kwetu hapa!!

Nakumbuka wakati anapokea report ya Osoro aliongea kwa ghadhabu kali et "mtu anipeleke mahakamani halafu arudi kuchimba?" akitishia kuwa acacia wakienda mahakamani wasahau ruhusa ya kuchimba madini nchini.
 
Mkuu, mimi nimejibu kwa ujumla.
Sababu zipo nyingi za kufanya mtikisiko wa uchumi sehemu husika. Ebu angalia hali ya uongozi ikoje hapo halafu unganisha dots
Mwambie uongozi wa kukurupuka kama wa kwetu hapa tizii
 
Huyo rais nae asikilize wananchi, mambo yaende sawa
wansmtk aachie madaraka sa sijui kama atawackiliza..pia yeye anasema matatizo ya nchi yake yako engineered na marekani plus kuporomoka bei ya mafuta na si uongozi mbaya kama wapinzan na wanachi wake wengi wanavyodai
 
Tunalo la kujifunza kupitia makinikia.

Maana kama mafuta ni mali basi Venezuela wanayo mengi kuzidi nchi yoyote duniani!!

Mikurupuko dizaini ya Hugo Chavez haitofautiani na ya huyu wa kwetu hapa!!

Nakumbuka wakati anapokea report ya Osoro aliongea kwa ghadhabu kali et "mtu anipeleke mahakamani halafu arudi kuchimba?" akitishia kuwa acacia wakienda mahakamani wasahau ruhusa ya kuchimba madini nchini.
kwa nchi zetu zenye uchumi mdg ukiwazngua wale jamaa wanakuumiza...hawakupelek mahakaman wala nn but utapata figisu nyng zisizoeleweka mpk ujute
 
kwa nchi zetu zenye uchumi mdg ukiwazngua wale jamaa wanakuumiza...hawakupelek mahakaman wala nn but utapata figisu nyng zisizoeleweka mpk ujute
Ngoosha anajifanya hajui hili!
Anajitwisha tanzania kichwani
 
Wazungu hasa wamarekani ni watu wabaya sana wanachochea kuni moto upambe....sasa hiv ndio wanaotoa report kuwa venezuela inahali mbaya
 
wansmtk aachie madaraka sa sijui kama atawackiliza..pia yeye anasema matatizo ya nchi yake yako engineered na marekani plus kuporomoka bei ya mafuta na si uongozi mbaya kama wapinzan na wanachi wake wengi wanavyodai
Mmmh huyu Marekani alikaziwa nini huko venezuela?? Na usikute ameshawishi watu wachochee vurugu...
 
Back
Top Bottom