Mifuko ya rambo kupigwa marufuku bongo

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ,Mazingira Dk Batilda
Burian, alisema kuwa serikali ipo mbioni kukataza matumizi ya mifuko
ya plastiki endapo wafanyabiashara na watengenezaji wa mifuko
wataendelea kutengeneza bila kuzingatia sheria inayodhibiti
matengenezo ya mifuko hiyo.

Alisema kuwa watengenezaji wa mifuko hiyo walikuwa wanakiuka
utaratibu wa utengenezaji wa mifuko hiyo ambayo inaonekana kuwa ni
kero jijini.

Sheria hiyo inalenga mifuko inayotakiwa kuwa katika matumizi iwe ni
ile ya microns 30 na si microns 100 ambayo ndio inayoharibu mazingira.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom