Wanyama anakuja Tz bodi ya utalii mko wapi?

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
384
500
Dotto Bulendu anaandika fb page

Moja ya madhaifu makubwa tuliyonayo Tanzania hasa kwenye sekta ya utalii ni namna ya kufanya "Branding Compaign" ya nchi yetu ama vivutio vyetu vya utalii.

Kwa mfano "The most amazing place in the world" ipo Tanzania pale Ngorongoro,sehemu pekee duniani ambapo mnyama mkali simba anapisha barabarani na binadamu ni Ngorongoro Tanzania,"Longest freshwater lake in the world"linapatikana Tanzania na hili ni ziwa Tanganyika, sehemu pekee ambapo wanyama hupata ujauzito sehemu moja ya nchi na kwenye kujifungulia sehemu nyingine ya nchi na kisha kuja kuwalea watoto sehemu nyingine ni Tanzania,Nyumbu wanapata mimba Tanzania,wanakwenda kuzaa Masai Mara kisha wanakuja kuwalea watoto mkoani Mara.

Kwenye sekta ya utalii Tanzania ina kila kitu,lakini hatui namna ya kujibrand kama taifa ili watalii wote wanapokuwa likizo waje nchini. Yaani VICENT WANYAMA anakuja nchini vyombo vya habari vya Uingereza vinaandika ujui wake hasa mtaa mmoja kupewa jina lake, sisi kama nchi tunavuana nguo hadharani kwa kusimika na kung'oa bango lake huku tukijipiga picha?yani unang'oa bango la mtaa wenye jina la WANYAMA halafu unajipiga picha na kuweka mtandaoni,unadhani ni sawa.

Hivi ndivyo gazeti la The SUN la Uingereza walivyoandika kuhusu Mwanyama
"I'M AVENUE Tottenham midfielder Victor Wanyama turns up in Tanzania to officially open street named in his honour.Kenya captain meets Dar es Salaam mayor and delighted fans at official ceremony for brand new V. Wanyama Street". Nafahamu utoaji wa majina ya mtaa nisuala la kisheria chini ya sheria namba 8 ya mwaka 1982 sura namba 288 na sheria namba 6 ya mwaka 1999 hizi zinatoa mamlaka kwa serikali za mitaa kutunga ama kutoa majina ya mitaa ama barabara za ndani ya halmashauri!

Binafsi sitazungumzia tofauti hizi kwa jicho la kisheria,wabobezi wameshachambua huko, mimi nitazungumzia katika jicho la kimawasiliano zaidi hasa! Kaja Wanyama nchini, tunamuacha anazunguka DSM, anakwenda kushuhudia Ndondo CUP, anakwenda kwenye vyombo vya habari, anakwenda kwenye migahawa maarufu DSM kula, lakini sisi kama taifa hatumuoni WANYAMA kama mtu ambaye tunaweza mtumia kuitangaza Tanzania, yaani mtu anacheza timu inayoshiriki ligi ya mabingwa Ulaya, anacheza ligi yenye mashabiki wengi Ulaya, sisi hatumuoni kwa jicho la kibiashara?

Unapotaka kufanya branding compaign tunatumia mbinu nyingi sana(kama 13) za namba ya kufanya branding compaign, leo nitaizungumzia hii moja tu ili nikuache upumzike na sikukuu.

1.Tafuta watu wenye mashabiki wengi sana, watu ambao wanafuatiliwa sana kila walifanyalo, watumie hao kujitangaza, kwa hili la wanyama, tulitakiwa tufanye uchunguzi Wanyama ana mashabiki wangapi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii? Watu wangapi wanamfuatilia?

Wanyama alivyopost tu kwenye ukurasa wake akiwa kwenye bango lililoandikwa WANYAMA STREET, alipata views 36.5K, hebu tazama waliotazama, na aliandika kwa kiswahili. Hivi tungemchukua WANYAMA, tukampa ofa ya kwenda pale Crator ya Ngorongoro bure, tukamuomba tu apige picha akiwa kwenye crator na aandike ujumbe mfupi tu mfano "Welcome at Ngorongoro crator in Tanzania, the most amazing place in the world"watalii wangapi wangekuja nchini?

Hatujua kuibrand nchi yetu kwa kutumia watu maarufu, ndiyo maana hata Mbwana Samata anakuja nchini yaani hata kumwambia Samata aende pale Ngorongoro Crator apige picha akiwa pale na kuiweka kwenye social media hatuoni, yaani hatujui namna ya kuwatumia watu maarufu kujitangaza.
Hakukuwa na haja kwa wakubwa wetu kuvuana nguo na kuoneshana nani mbabe kwenye hili la WANYAMA,naamini watu wetu wa sekta ya utalii hii dhana ya BRANDING, wanaijua vizuri sana, sijui shida ni nini?

Ilitakiwa tu serikali inpump pesa wizara wizara ya maliasili na utalii,ije ya "Brandig compagn strategies"mfano inasema mwaka huu tutahakikisha tunaingia makubaliano na nyota ishirini maarufu wanaokioiga kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya, wizara ina andaa mkakati kabambe inahakikisha nyota hawa wanakuja free, unamleta Ronaldo Ngorongo.

Pale Ngorongoro unampandisha kwenye crator, unazungumza na CNN, unawalipa wafanye live coverage ya dakika 5 wakati Ronaldo akiwa kwenye crator, kutoka CNN unakubaliana nao wamlete mtangazji maarufu kama Christin Amanpour, RONALDO na AMANPOUR wote wakiandika kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwa wapo Ngorongoro Crator, CNN ikaenda live kwa dakika tano, idadi ya watalii itakayokuja nchini itavunja rekodi.

Sasa sisi anakuja WANYAMA nchini, ofa ya kwenda kwenye vivutio vya utalii na kumwambia apost kuwa yupo "at the most amazing place in th e world where you can see live lions having sex, this happening only in Tanzania"tunabaki kung'oa mabango ya mtaa uliobatizwa jina lake.

Anyway, nisiwachoshe sana, ipi siku nitakuja na mada ya "BRANDING COMPAIGN"hususani "how to brand our nation"kama tulivyojifunza HOW TO ESTABLISH BRAND"
 
Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,568
2,000
Naomba niandike andiko refu kidogo maana hamna namna.

Kwenye Masomo ya PUBLIC RELATIONS,JOURNALISM na MASS COMMUNICATION,wanafunzi husoma topic inayoitwa BRANDING,hii ni Topic nzuri sana,binafsi niliipenda tangu nilipoisoma mara ya kwanza na hupenda sana kuifundisha hata kubadilishana mawazo na wenzangu.

Kwenye "Topic ya Branding" tunasoma "How to establish brand"hili somo nilishawahi liweka humu,na pia tunasoma "How to compaign for brand(branding compaign)"hili sijawahi liweka humu.

Moja ya madhaifu makubwa tuliyonayo Tanzania hasa kwenye sekta ya utalii ni namna ya kufanya "Branding Compaign" ya nchi yetu ama vivutio vyetu vya utalii.

Kwa mfano "The most amazing place in the world" ipo Tanzania pale Ngorongoro,sehemu pekee duniani ambapo mnyama mkali simba anapisha barabarani na binadamu ni Ngorongoro Tanzania,"Longest freshwater lake in the world"linapatikana Tanzania na hili ni ziwa Tanganyika,sehemu pekee ambapo wanyama hupata ujauzito sehemu moja ya nchi na kwenye kujifungulia sehemu nyingine ya nchi na kisha kuja kuwalea watoto sehemu nyingine ni Tanzania,Nyumbu wanapata mimba Tanzania,wanakwenda kuzaa Masai Mara kisha wanakuja kuwalea watoto mkoani Mara.

Kwenye sekta ya utalii Tanzania ina kila kitu,lakini hatui namna ya kujibrand kama taifa ili watalii wote wanapokuwa likizo waje nchini.

Yaani VICENT WANYAMA anakuja nchini vyombo vya habari vya Uingereza vinaandika ujui wake hasa mtaa mmoja kupewa jina lake,sisi kama nchi tunavuana nguo hadharani kwa kusimika na kung'oa bango lake huku tukijipiga picha?yani unang'oa bango la mtaa wenye jina la WANYAMA halafu unajipiga picha na kuweka mtandaoni,unadhani ni sawa.

Hivi ndivyo gazeti la The SUN la Uingereza walivyoandika kuhusu Mwanyama

"I'M AVENUE Tottenham midfielder Victor Wanyama turns up in Tanzania to officially open street named in his honour.Kenya captain meets Dar es Salaam mayor and delighted fans at official ceremony for brand new V. Wanyama Street".

Nafahamu utoaji wa majina ya mtaa nisuala la kisheria chini ya sheria namba 8 ya mwaka 1982 sura namba 288 na sheria namba 6 ya mwaka 1999 hizi zinatoa mamlaka kwa serikali za mitaa kutunga ama kutoa majina ya mitaa ama barabara za ndani ya halmashauri!

Binafsi sitazungumzia tofauti hizi kwa jicho la kisheria,wabobezi wameshachambua huko,mimi nitazungumzia katika jicho la kimawasiliano zaidi hasa!

Kaja Wanyama nchini,tunamuacha anazunguka dsm,anakwenda kushuhudia Ndondo CUP,anakwenda kwenye vyombo vya habari,anakwenda kwenye migahawa maarufu dsm kula,lakini sisi kama taifa hatumuoni WANYAMA kama mtu ambaye tunaweza mtumia kuitangaza Tanzania,yaani mtu anacheza timu inayoshiriki ligi ya mabingwa Ulaya,anacheza ligi yenye mashabiki wengi Ulaya,sisi hatumuoni kwa jicho la kibiashara?

Unapotaka kufanya branding compaign tunatumia mbinu nyingi sana(kama 13) za namba ya kufanya branding compaign,leo nitaizungumzia hii moja tu ili nikuache upumzike na sikukuu.

1.Tafuta watu wenye mashabiki wengi sana,watu ambao wanafuatiliwa sana kila walifanyalo,watumie hao kujitangaza,kwa hili la wanyama,tulitakiwa tufanye uchunguzi Wanyama ana mashabiki wangapi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii?watu wangapi wanamfuatilia?

Wanyama alivyopost tu kwenye ukurasa wake akiwa kwenye bango lililoandikwa WANYAMA STREET,alipata views 36.5K,hebu tazama waliotazama,na aliandika kwa kiswahili.

Hivi tungemchukua WANYAMA,tukampa ofa ya kwenda pale Crator ya Ngorongoro bure,tukamuomba tu apige picha akiwa kwenye crator na aandike ujumbe mfupi tu mfano "Welcome at Ngorongoro crator in Tanzania,the most amazing place in the world"watalii wangapi wangekuja nchini?

Hatujua kuibrand nchi yetu kwa kutumia watu maarufu,ndiyo maana hata Mbwana Samata anakuja nchini yaani hata kumwambia Samata aende pale Ngorongoro Crator apige picha akiwa pale na kuiweka kwenye social media hatuoni,yaani hatujui namna ya kuwatumia watu maarufu kujitangaza.

Hakukuwa na haja kwa wakubwa wetu kuvuana nguo na kuoneshana nani mbabe kwenye hili la WANYAMA,naamini watu wetu wa sekta ya utalii hii dhana ya BRANDING,wanaijua vizuri sana,sijui shida ni nini?

Ilitakiwa tu serikali inpump pesa wizara wizara ya maliasili na utalii,ije ya "Brandig compagn strategies"mfano inasema mwaka huu tutahakikisha tunaingia makubaliano na nyota ishirini maarufu wanaokioiga kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya,wizara ina andaa mkakati kabambe inahakikisha nyota hawa wanakuja free,unamleta Ronaldo Ngorongo,.

Pale Ngorongoro unampandisha kwenye crator,unazungumza na CNN,unawalipa wafanye live coverage ya dakika 5 wakati Ronaldo akiwa kwenye crator,kutoka CNN unakubaliana nao wamlete mtangazji maarufu kama Christin Amanpour,,RONALDO,na AMANPOUR wote wakiandika kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwa wapo Ngorongoro Crator,CNN ikaenda live kwa dakika tano,idadi ya watalii itakayokuja nchini itavunja rekodi.

Sasa sisi anakuja WANYAMA nchini,hatumpi ofa ya kwenda kwenye vivutio vya utalii na kumwambia apost kuwa yupo "at the most amazing place in th e world where you can see live lions having sex,this happening only in Tanzania"tunabaki kung'oa mabango ya mtaa uliobatizwa jina lake.

Anyway,nisiwachoshe sana,ipi siku nitakuja na mada ya "BRANDING COMPAIGN"hususani "how to brand our nation"kama tulivyojifunza HOW TO ESTABLISH BRAND"
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
6,197
2,000
Wangeweza kutangaza utalii kupitia njia nyingine ila sio kuupa mtaa jina lake. Hivi kama kila mtu maarufu akija bongo kuna mtaa unapewa jina lake si nchi nzima tutabadili majina ya mitaa

Wanyama hajafanya chochote cha kukumbukwa bongo hadi tumpe Wanyama St tena bila kufuata taratibu, that was too low. Samatta, Dayamondi na wengine wanastahili kuenziwa kuliko huyo Wanyama. Ila sisemi hatuwezi tangaza utalii kupitia yeye
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,529

Samatta na huyo Diamond hawana mvuto kitaifa wala kimataifa!
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
6,197
2,000
Samatta na huyo Diamond hawana mvuto kitaifa wala kimataifa!
So kila mtu maarufu akija bongo kuna mtaa tunaupa jina lake? Beckham na Wanyama nani maarufu, Beckham juzi alikua bongo mbona hamjaupa mtaa jina lake?
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,849
2,000
Naomba niandike andiko refu kidogo maana hamna namna.

Kwenye Masomo ya PUBLIC RELATIONS,JOURNALISM na MASS COMMUNICATION,wanafunzi husoma topic inayoitwa BRANDING,hii ni Topic nzuri sana,binafsi niliipenda tangu nilipoisoma mara ya kwanza na hupenda sana kuifundisha hata kubadilishana mawazo na wenzangu.

Kwenye "Topic ya Branding" tunasoma "How to establish brand"hili somo nilishawahi liweka humu,na pia tunasoma "How to compaign for brand(branding compaign)"hili sijawahi liweka humu.

Moja ya madhaifu makubwa tuliyonayo Tanzania hasa kwenye sekta ya utalii ni namna ya kufanya "Branding Compaign" ya nchi yetu ama vivutio vyetu vya utalii.

Kwa mfano "The most amazing place in the world" ipo Tanzania pale Ngorongoro,sehemu pekee duniani ambapo mnyama mkali simba anapisha barabarani na binadamu ni Ngorongoro Tanzania,"Longest freshwater lake in the world"linapatikana Tanzania na hili ni ziwa Tanganyika,sehemu pekee ambapo wanyama hupata ujauzito sehemu moja ya nchi na kwenye kujifungulia sehemu nyingine ya nchi na kisha kuja kuwalea watoto sehemu nyingine ni Tanzania,Nyumbu wanapata mimba Tanzania,wanakwenda kuzaa Masai Mara kisha wanakuja kuwalea watoto mkoani Mara.

Kwenye sekta ya utalii Tanzania ina kila kitu,lakini hatui namna ya kujibrand kama taifa ili watalii wote wanapokuwa likizo waje nchini.

Yaani VICENT WANYAMA anakuja nchini vyombo vya habari vya Uingereza vinaandika ujui wake hasa mtaa mmoja kupewa jina lake,sisi kama nchi tunavuana nguo hadharani kwa kusimika na kung'oa bango lake huku tukijipiga picha?yani unang'oa bango la mtaa wenye jina la WANYAMA halafu unajipiga picha na kuweka mtandaoni,unadhani ni sawa.

Hivi ndivyo gazeti la The SUN la Uingereza walivyoandika kuhusu Mwanyama

"I'M AVENUE Tottenham midfielder Victor Wanyama turns up in Tanzania to officially open street named in his honour.Kenya captain meets Dar es Salaam mayor and delighted fans at official ceremony for brand new V. Wanyama Street".

Nafahamu utoaji wa majina ya mtaa nisuala la kisheria chini ya sheria namba 8 ya mwaka 1982 sura namba 288 na sheria namba 6 ya mwaka 1999 hizi zinatoa mamlaka kwa serikali za mitaa kutunga ama kutoa majina ya mitaa ama barabara za ndani ya halmashauri!

Binafsi sitazungumzia tofauti hizi kwa jicho la kisheria,wabobezi wameshachambua huko,mimi nitazungumzia katika jicho la kimawasiliano zaidi hasa!

Kaja Wanyama nchini,tunamuacha anazunguka dsm,anakwenda kushuhudia Ndondo CUP,anakwenda kwenye vyombo vya habari,anakwenda kwenye migahawa maarufu dsm kula,lakini sisi kama taifa hatumuoni WANYAMA kama mtu ambaye tunaweza mtumia kuitangaza Tanzania,yaani mtu anacheza timu inayoshiriki ligi ya mabingwa Ulaya,anacheza ligi yenye mashabiki wengi Ulaya,sisi hatumuoni kwa jicho la kibiashara?

Unapotaka kufanya branding compaign tunatumia mbinu nyingi sana(kama 13) za namba ya kufanya branding compaign,leo nitaizungumzia hii moja tu ili nikuache upumzike na sikukuu.

1.Tafuta watu wenye mashabiki wengi sana,watu ambao wanafuatiliwa sana kila walifanyalo,watumie hao kujitangaza,kwa hili la wanyama,tulitakiwa tufanye uchunguzi Wanyama ana mashabiki wangapi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii?watu wangapi wanamfuatilia?

Wanyama alivyopost tu kwenye ukurasa wake akiwa kwenye bango lililoandikwa WANYAMA STREET,alipata views 36.5K,hebu tazama waliotazama,na aliandika kwa kiswahili.

Hivi tungemchukua WANYAMA,tukampa ofa ya kwenda pale Crator ya Ngorongoro bure,tukamuomba tu apige picha akiwa kwenye crator na aandike ujumbe mfupi tu mfano "Welcome at Ngorongoro crator in Tanzania,the most amazing place in the world"watalii wangapi wangekuja nchini?

Hatujua kuibrand nchi yetu kwa kutumia watu maarufu,ndiyo maana hata Mbwana Samata anakuja nchini yaani hata kumwambia Samata aende pale Ngorongoro Crator apige picha akiwa pale na kuiweka kwenye social media hatuoni,yaani hatujui namna ya kuwatumia watu maarufu kujitangaza.

Hakukuwa na haja kwa wakubwa wetu kuvuana nguo na kuoneshana nani mbabe kwenye hili la WANYAMA,naamini watu wetu wa sekta ya utalii hii dhana ya BRANDING,wanaijua vizuri sana,sijui shida ni nini?

Ilitakiwa tu serikali inpump pesa wizara wizara ya maliasili na utalii,ije ya "Brandig compagn strategies"mfano inasema mwaka huu tutahakikisha tunaingia makubaliano na nyota ishirini maarufu wanaokioiga kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya,wizara ina andaa mkakati kabambe inahakikisha nyota hawa wanakuja free,unamleta Ronaldo Ngorongo,.

Pale Ngorongoro unampandisha kwenye crator,unazungumza na CNN,unawalipa wafanye live coverage ya dakika 5 wakati Ronaldo akiwa kwenye crator,kutoka CNN unakubaliana nao wamlete mtangazji maarufu kama Christin Amanpour,,RONALDO,na AMANPOUR wote wakiandika kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwa wapo Ngorongoro Crator,CNN ikaenda live kwa dakika tano,idadi ya watalii itakayokuja nchini itavunja rekodi.

Sasa sisi anakuja WANYAMA nchini,hatumpi ofa ya kwenda kwenye vivutio vya utalii na kumwambia apost kuwa yupo "at the most amazing place in th e world where you can see live lions having sex,this happening only in Tanzania"tunabaki kung'oa mabango ya mtaa uliobatizwa jina lake.

Anyway,nisiwachoshe sana,ipi siku nitakuja na mada ya "BRANDING COMPAIGN"hususani "how to brand our nation"kama tulivyojifunza HOW TO ESTABLISH BRAND"

Samahani kwa kuquote uzi wote huu, kuna kitu nataka kusema...ACHA UCHOCHEZI, TUKO KWENYE VITA YA KIUCHUMI NA KULINDA RASIRIMALI ZETU..
 
Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,118
2,000
Mkuu nimekuelewa sana. Safi sana.

Kama una post zingine zinazozungumzia branding naomba link mkuu
 
WilliK10

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
601
500
Dotto Bulendu anaandika fb page

Moja ya madhaifu makubwa tuliyonayo Tanzania hasa kwenye sekta ya utalii ni namna ya kufanya "Branding Compaign" ya nchi yetu ama vivutio vyetu vya utalii.

Kwa mfano "The most amazing place in the world" ipo Tanzania pale Ngorongoro,sehemu pekee duniani ambapo mnyama mkali simba anapisha barabarani na binadamu ni Ngorongoro Tanzania,"Longest freshwater lake in the world"linapatikana Tanzania na hili ni ziwa Tanganyika, sehemu pekee ambapo wanyama hupata ujauzito sehemu moja ya nchi na kwenye kujifungulia sehemu nyingine ya nchi na kisha kuja kuwalea watoto sehemu nyingine ni Tanzania,Nyumbu wanapata mimba Tanzania,wanakwenda kuzaa Masai Mara kisha wanakuja kuwalea watoto mkoani Mara.

Kwenye sekta ya utalii Tanzania ina kila kitu,lakini hatui namna ya kujibrand kama taifa ili watalii wote wanapokuwa likizo waje nchini. Yaani VICENT WANYAMA anakuja nchini vyombo vya habari vya Uingereza vinaandika ujui wake hasa mtaa mmoja kupewa jina lake, sisi kama nchi tunavuana nguo hadharani kwa kusimika na kung'oa bango lake huku tukijipiga picha?yani unang'oa bango la mtaa wenye jina la WANYAMA halafu unajipiga picha na kuweka mtandaoni,unadhani ni sawa.

Hivi ndivyo gazeti la The SUN la Uingereza walivyoandika kuhusu Mwanyama
"I'M AVENUE Tottenham midfielder Victor Wanyama turns up in Tanzania to officially open street named in his honour.Kenya captain meets Dar es Salaam mayor and delighted fans at official ceremony for brand new V. Wanyama Street". Nafahamu utoaji wa majina ya mtaa nisuala la kisheria chini ya sheria namba 8 ya mwaka 1982 sura namba 288 na sheria namba 6 ya mwaka 1999 hizi zinatoa mamlaka kwa serikali za mitaa kutunga ama kutoa majina ya mitaa ama barabara za ndani ya halmashauri!

Binafsi sitazungumzia tofauti hizi kwa jicho la kisheria,wabobezi wameshachambua huko, mimi nitazungumzia katika jicho la kimawasiliano zaidi hasa! Kaja Wanyama nchini, tunamuacha anazunguka DSM, anakwenda kushuhudia Ndondo CUP, anakwenda kwenye vyombo vya habari, anakwenda kwenye migahawa maarufu DSM kula, lakini sisi kama taifa hatumuoni WANYAMA kama mtu ambaye tunaweza mtumia kuitangaza Tanzania, yaani mtu anacheza timu inayoshiriki ligi ya mabingwa Ulaya, anacheza ligi yenye mashabiki wengi Ulaya, sisi hatumuoni kwa jicho la kibiashara?

Unapotaka kufanya branding compaign tunatumia mbinu nyingi sana(kama 13) za namba ya kufanya branding compaign, leo nitaizungumzia hii moja tu ili nikuache upumzike na sikukuu.

1.Tafuta watu wenye mashabiki wengi sana, watu ambao wanafuatiliwa sana kila walifanyalo, watumie hao kujitangaza, kwa hili la wanyama, tulitakiwa tufanye uchunguzi Wanyama ana mashabiki wangapi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii? Watu wangapi wanamfuatilia?

Wanyama alivyopost tu kwenye ukurasa wake akiwa kwenye bango lililoandikwa WANYAMA STREET, alipata views 36.5K, hebu tazama waliotazama, na aliandika kwa kiswahili. Hivi tungemchukua WANYAMA, tukampa ofa ya kwenda pale Crator ya Ngorongoro bure, tukamuomba tu apige picha akiwa kwenye crator na aandike ujumbe mfupi tu mfano "Welcome at Ngorongoro crator in Tanzania, the most amazing place in the world"watalii wangapi wangekuja nchini?

Hatujua kuibrand nchi yetu kwa kutumia watu maarufu, ndiyo maana hata Mbwana Samata anakuja nchini yaani hata kumwambia Samata aende pale Ngorongoro Crator apige picha akiwa pale na kuiweka kwenye social media hatuoni, yaani hatujui namna ya kuwatumia watu maarufu kujitangaza.
Hakukuwa na haja kwa wakubwa wetu kuvuana nguo na kuoneshana nani mbabe kwenye hili la WANYAMA,naamini watu wetu wa sekta ya utalii hii dhana ya BRANDING, wanaijua vizuri sana, sijui shida ni nini?

Ilitakiwa tu serikali inpump pesa wizara wizara ya maliasili na utalii,ije ya "Brandig compagn strategies"mfano inasema mwaka huu tutahakikisha tunaingia makubaliano na nyota ishirini maarufu wanaokioiga kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya, wizara ina andaa mkakati kabambe inahakikisha nyota hawa wanakuja free, unamleta Ronaldo Ngorongo.

Pale Ngorongoro unampandisha kwenye crator, unazungumza na CNN, unawalipa wafanye live coverage ya dakika 5 wakati Ronaldo akiwa kwenye crator, kutoka CNN unakubaliana nao wamlete mtangazji maarufu kama Christin Amanpour, RONALDO na AMANPOUR wote wakiandika kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwa wapo Ngorongoro Crator, CNN ikaenda live kwa dakika tano, idadi ya watalii itakayokuja nchini itavunja rekodi.

Sasa sisi anakuja WANYAMA nchini, ofa ya kwenda kwenye vivutio vya utalii na kumwambia apost kuwa yupo "at the most amazing place in th e world where you can see live lions having sex, this happening only in Tanzania"tunabaki kung'oa mabango ya mtaa uliobatizwa jina lake.

Anyway, nisiwachoshe sana, ipi siku nitakuja na mada ya "BRANDING COMPAIGN"hususani "how to brand our nation"kama tulivyojifunza HOW TO ESTABLISH BRAND"
Scenario ya Wanyama ilikuwa sawa na kusema "low hanging fruit". Yaani tunda limejisogeza chinichini livunwe, kwa kiswahili kisichokuwa rasmi.
Bodi ya Utalii kama ipo Tz, haina mikakati yoyote ya kuendeleza utalii wa nchi. Hata ishu ya Sportpesa na ujio wa Everton bongo, wamefanya kushtuliwa na Abbas Tarimba. Wao bado wapo gizani, wamejifungia. Wanajua nchi imeshajitangaza hivyo watalii watakuja wenyewe.

Kenya waliposema Ml. Kilimanjaro upo kwao hawakukurupuka. Walifanya tafiti na kuona kuwa Tz haikuwa imefanya promo za kuonesha kama mlima upo bongo..wakatumia mwanya huo wakapiga hela.

Yakaja madini n.k. Bado "bodi ya utalii" iliyosinzia ilikuwepo na haikushtuka.

Mayor Bonny katumia ubunifu mkubwa maana kwa muda mfupi tangu Wanyama apost ktk page yake alipata viewers wengi na nina uhakika watakuja Tz.

Watawala watumiao mabavu waliona bora waliondoe lile bango. Au halikulipiwa kodi? Hehehe! Lakini kama bodi ya utalii ingekuwa bega kwa bega na Wanyama tangu mwanzo, hakuna ambaye angeliondoa.

Siioni Tanzania ikipiga hatua. Itabaki hivi hivi miaka nenda rudi. Tuombe uzima.
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,529
2,000
So kila mtu maarufu akija bongo kuna mtaa tunaupa jina lake? Beckham na Wanyama nani maarufu, Beckham juzi alikua bongo mbona hamjaupa mtaa jina lake?
Kwani kuna Halmashauri aliyoitembelea?
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,898
2,000
Kuna mbunge alishauri sanamu la pale Posta awekwe Diamond watu wakatokwa na kila aina ya povu.

Leo hii watu haohao wanatetea mpuuzi mmoja kutoka Kenya apewe mtaa. Ujinga kabisa huu.
 
Sooth

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
3,920
2,000
Bodi ya utalii wapo chumbani wamelala na kulaliana kama kawaida yao.
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
6,197
2,000
Kwani kuna Halmashauri aliyoitembelea?
Wewe kweli mmalila wa Ileje reasoning capacity ndogo. Sakho yupo bongo katoa hadi misaada kwa watoto yatima mbona hamjaupa mtaa jina lake, Schneiderlin pia kazunguka Arusha unataka nae apewe mtaa!! Kwa Wanyama Shaffih na meya wenu wa CDM mlikurupuka nafurahi serikali imeliona hilo imefutilia mbali.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,602

Kunywa maji mkuu, kiu itakuua!!
Jamaa wamekuachia ofisi peke yako?
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,529
2,000
Wewe kweli mmalila wa Ileje reasoning capacity ndogo. Sakho yupo bongo katoa hadi misaada kwa watoto yatima mbona hamjaupa mtaa jina lake, Schneiderlin pia kazunguka Arusha unataka nae apewe mtaa!! Kwa Wanyama Shaffih na meya wenu wa CDM mlikurupuka nafurahi serikali imeliona hilo imefutilia mbali.
Reasoning isiyoenda na wakati ni akili ya panzi! Eti kwa sababu babu yako hakusomeswa na wewe usisomeswe! Foolish!!!
Lazima tuwe na mahali pa kuanzia! Sasa tumeanza na mengine mengi yatafuata!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom