Ufanyaji wa Biashara na dhana ya uganga.

Black fire

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
746
1,000
Habar zenu wakuu.

Katika pita pita zangu mtaani nmegundua wafanya biashara wengi wanatumia ''mzizi'' katika kuendesha biashara zao. Kitu ambacho kimenishangaza sana ni kuona hata wale wanaojinasibu watu wa dini wanatumia ''mzizi'' na wengine wana waganga wao kabsa.

Wengne huenda kwa waganga kulinda biashara zao ili zsipigwe uchawi na wengi wao hutafuta waganga wawasaidie kuleta mvuto wa biashara zao.

Huu utafiti wangu usio rasmi umehusisha wengi wanaofanya biashara wakiwa eneo moja (sio wale wanaofanya biashara za mitandaoni)

Wao hudai wana ''boost'' biashara zao vngnevyo hudai znaweza kufifia na kufa kabsa. Na wengine hukosa wateja ndo maana wanakimbilia kutafuta madawa ya biashara.

Km unafanya biashara tupe uzoefu wako unategemea nn? Unamtegemea Mungu au miungu? Hutumii dawa za ku'busti' biashara?

Wengi hujificha kwny kivuli cha dini lakn ukweli wanaujua wanavyofanya biashara. Je huwez kufanya biashara bila madawa? Huwez kufanya biashara kwa imani na ukamtegemea Mungu?

Km sio mfanya biashara, tuelezee kuhusu jamaa na ndg zako wanavyofanya biashara.

Note: Mm sio mfanya biashara ila nina marafk zangu wafanyabiashara.

Karibu kwa michango wadau
 
Daviie

JF-Expert Member
May 20, 2016
1,218
2,000
Duh! Hata mm mtaani kwetu watu asilimia kubwa wanaamini bila dawa biashara haiwezi kuchua round. By my side nadhani kuna two options either umtegemee Mungu kwa kuendana na viwango vyake bilashaka atasaidia, Au ndo uende kwa hao waganga but wale neutral ndo wanaoumia sikuzote
 
Bado kuna wanaodai kumtegemea Mungu lakn bado wanatumia dawa za kuongeza mvuto
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
8,956
2,000
Bado kuna wanaodai kumtegemea Mungu lakn bado wanatumia dawa za kuongeza mvuto
Huwezi kuwa kote kote mkuu.You either belong to God or Satan.Hao unaodai wako kote kote wako kwa Shetani,the true God does not entertain that.Amesema "yeye ni Mungu mwenye wivu."
 
Black fire

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
746
1,000
Huwezi kuwa kote kote mkuu.You either belong to God or Satan.Hao unaodai wako kote kote wako kwa Shetani,the true God does not entertain that.Amesema "yeye ni Mungu mwenye wivu."
Sjuh hapa nan atabaki salama.? Mungu atusaidie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom