Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Salute comrades, Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Nimevutiwa na taarifa niliyoisoma kwamba kampuni Fulani inayojihusisha na michezo ya kubahatisha imelipa bilioni mia mbili na milioni mia moja kama kodi kwa kile walichoingiza mwezi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
SIYO KILA MWENDAWAZIMU NI MWENDAWAZIMU !! Palikua na mfalme na mwendawazimu ambao walikutana makaburini. Mfalme: imekuaje wewe unaishi makaburi siku zote?! Na hutaki kuondoka mahala hapa...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Bitcoin imepanda sana wiki hii. Leo imefika 2850.01usd update: Leo August 13 bicoin imefika $4145 kweli natamani mifumo yetu ingekubali matumizi ya fedha hizi za kimtandao na kusaidia kuepusha...
3 Reactions
59 Replies
14K Views
Kwanza napenda ku "declare interest". Kama kuna ex-diaspora basi mimi nime qualify. "Opportunity is rare, grab it when it appears". Hivi karibuni tulianzisha mjadala wa tulioupa kichwa cha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Maana kuna wengine wanazitumia kujipatia maendeleo
0 Reactions
3 Replies
769 Views
Dear wana jamii forum, Naitaji kufanya biashara ya mkaa bora( biomass briquette). Nimefanya uchunguzi nikaambiwa kuna kiwanda kipo tanga kinatengeneza kwa wingi, tatizo sijajua kipo tanga sehemu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wapendwa mm ni kijana nilihetimu chuo na kwa sasa kama mnavyojua ajira zinasumbua sana nimekuja na wazo moja la kufanya biashara ingawa sina uzoefu na biashara. Naomba ushauri wenu naitaji kufanya...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Wana jukwaa ninasikitishwa sana na bei ya kahawa nchini kwetu ukilinganisha na wenzetu wa Uganda ukizingatia kwamba wao ni lazima waipitishe nchini kwetu kkabla ya kwenda kwenye soko la dunia...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
wakuu habari, ninampango wa kufungua shule ya awali au kwa jina lingine ni chekechea, lakini itakuwa na mfumo wa English medium na pia nitaweka day care. ombi language Kwenu kama kuna mtu mwenye...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nisiye na ajira ila nimepanga kuanzisha biashara nahitaji mkopo wa 2 million ni taasisi gani riba zao ni nafuu msaada...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? Mimi ni mjasiliamali naishi Singida. Natafuta mtu mwenye stationary au aliefunga biashara hiyo ila ana mashine ya kutolea copy ya ziada au haitumi. Nahitaji kukodisha au...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Siku chache tu zilizopita, nilihamisha makazi yangu kutoka Sinza na kuhamia Magomeni Makanya. Hapa pana shida ya maji sana. Sasa kuna kijana mmoja wa Kisukuma almaharufu kwa jina...
28 Reactions
199 Replies
25K Views
Eidha ukubali au ukatae hiyo ni juu yako na hakuna atakaekuladhimisha juu ya hilo, ila kimsingi maisha mtaani tangia utawala huu wa hawamu ya 5 uingie ni sawa na kukamua jiwe ukitegeme jiwe hilo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wajasiriamali wenzangu. Naomba sana kuna hicho kitabu nimeweka cover picha yake hapo chini naomba kwa yeyote ambae ataweza kukipata basi sio vibaya na hatapungukiwa na chochote kama...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Hii ni moja ya nukuu iliyonigusa kwenye hotuba ya Rais Magufuli ya leo 23/10/2017. Naomba tujadiliane namna ya kutumia huu mtaji tulionao, mtaji wa kuwa wazaliwa wa Tanzania. Kama kuna vikwazo...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina kiwanja nimenunua milion 4 na katika mauziano hayo tulifanya katika maandishi na pia tukaenda serikali ya mtaa tukajaza fomu inayoashiria mm ndo muhusika , sasa wakuu ikabidi nianze ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za mchana huu wadau..pamoja na sifa walizonazo lakini pia Mna sifa ya wizi kwa Wateja wenu Kisa ni hiki; asubuhi kaja mteja dukani kwangu akataka nimuweke vocha na nimuunganishie...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hakuna kazi kubwa duniani kama kufikiri kutokana na ugumu wa kazi hii watu wachache hutumia brain zao kufikiri kwa niaba ya watu wengine. The Nobel Prize winning physcist Albert Eastern.The best...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom