Producer wa mkaa bora Kilimanjaro au tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Producer wa mkaa bora Kilimanjaro au tanga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by flif, Feb 6, 2012.

 1. f

  flif New Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear wana jamii forum,

  Naitaji kufanya biashara ya mkaa bora( biomass briquette). Nimefanya uchunguzi nikaambiwa kuna kiwanda kipo tanga kinatengeneza kwa wingi, tatizo sijajua kipo tanga sehemu gani na ni kwa vipi naweza kupata mawasiliano yao ili nifanye uchunguzi kama biashara italipa.Ningependa kupata details za iko kiwanda kama kuna anayefahamu.


  pia kama kuna kiwanda cha aina iyo kilimanjaro pia naomba information zake.
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2017
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  duh!
  ulifanikiwa ndugu?
   
Loading...