Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,316
752
Bitcoin imepanda sana wiki hii. Leo imefika 2850.01usd
images (4).jpg

update: Leo August 13 bicoin imefika $4145
kweli natamani
mifumo yetu ingekubali matumizi ya fedha hizi za kimtandao na kusaidia kuepusha kuhamishia fedha zetu za kigeni maana wenzetu nchi jirani tayari wana mifumo inayofanya transactions hizi na kibaya zaidi wameshajipenyeza hapa kwetu wakitumie mifumo ya makampuni ya simu.

Sijui kwa nini taasisi zetu haziko fast kura foot changes km hizi za kiuchumi hadi tuone majirani wamefaidika.

Current update: 08/25/2017 1btc = $4350

Screenshot_2017-08-25-12-09-36.png

Screenshot_2017-08-25-12-08-13.png

Today Tue: 08/29/2017 1BTC = $4,570.00

Attachments

  • Screenshot_2017-10-27-06-28-27.png
    Screenshot_2017-10-27-06-28-27.png
    25.6 KB · Views: 65
Tusingoje hadi jirani zetu ndio waje watuingize huko.

Si vibaya ukimiliki Bitcoin hata 2 maana inazidi kupaa. Juzi nimeona Waziri wa Sweeden Mathias Sundin kajiunga na matumizi haya, pia Raisi Putin alikuwa na brief conversation pamoja na mmiliki wa ethereum Vitalik Buterin kwenye global group of chief executives. Huko Amerika,Uk na kwingine Taasisi za kifedha zimeanza kufanya transaction za bitcoin kwenda kwenye $
 
Bitcoin imepanda sana wiki hii. Leo imefika 2850.01usdView attachment 520367
Changamoto tulionayo hasa hapa kwetu ni jinsi ya kutoa E money kutoka kwenye "bitcoin wallet" kupeleka bank au kwenye cm, mfumo wa bitpesa nao ni changamoto kubwa.
Kama financial institutions zetu zikiweza ku integrate na mfumo huu basi ishu nyingi naona za kimataifa na hata biashara za kimataifa zitakua sana.
 
Mkuu hii biashara inafanyikaje aise waweza kunipa dondoo kidogo?
 
Hebu nipeni hayo maneno, ila nkiskia pyramid tu hua moyo unaenda mbiyo maana africa tunalaliwa sana na haya mavitu tena tunadanganywa kweli wakati unakuta ni biashara mfu kwa nchi zilizoendelea au waanzilishi, ikibuma ndo wanaleta huku wanakula kula tena
 
Changamoto tulionayo hasa hapa kwetu ni jinsi ya kutoa E money kutoka kwenye "bitcoin wallet" kupeleka bank au kwenye cm, mfumo wa bitpesa nao ni changamoto kubwa.
Kama financial institutions zetu zikiweza ku integrate na mfumo huu basi ishu nyingi naona za kimataifa na hata biashara za kimataifa zitakua sana.
Kuna wadau wako kny final touch za intergration na kuna benki imeprove kuweza intergration.So ni jambo la subira kidogo tu.
 
wataalam naona hapa kuna hii crypto yakuitwa ANS/NEO zamani Antshares ya China,saivi iko around 7-8 dollars,naona kama inafaa kuinvest longterm sababu its relatively new na forecasters wanasema kuna matarajio makubwa ya kuongezeka thamani huko mbeleni,nyie mnaionaje.?
 
Back
Top Bottom