Uganda - 25% living below the poverty line.
Tanzania - 29% living below the poverty line.
Kenya - 46% living below the poverty line.
Don't let GDP figures mislead you. I always tell my fellow...
Habari zenu wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema apo juu, naomba kujua faida zake na changamoto zake hii biashara ya baby diapers (Pempas watoto) kwa mkoa wa Dar na mbinu gani niweze kutumia...
Farm for Lease
A 2.5 hectare brick fenced farm at Madale Kisauke in Dar is for Lease.
The farm has a chicken house that is fully equipped with water drinkers. It can accommodate up to 10,000...
habari wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa wale wenzangu na mimi ambao tunafanya biashara ya vitu used.
Yani kwa mtu yeyote anayeuza kitu chochote used anaweza kuutumia huu uzi na kutangaza na...
Jamani naomba kufahamu faida inayopatikana kwenye mifuko ya UTT inatolewa katika mfumo wa simple interest au compound interest; yaani faida inakuwa inajumlishwa na mtaji au usipo nunua vipande...
Habari wanaJF,
Ningependa kugusia kitu kabla sijaenda kwenye swali langu.
Tukikumbuka mwaka Jana ama mwaka juzi vyuma vilipo anza kukaza watu wengi walikuwa wakilalamika pesa imepotea mtaani...
Katika thread yake Ontario mwenyewe amesema yuko tayari kutoa training na mentorship kwa wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na mikoa jirani yenye uwezo wa kufika Mwanza. Anachohitaji ni kuji-organize...
Tuanze na BILIONI 1.
Naona watu wanaitajataja sana bila ufafanuzi wa kueleweka. . . Kuna wanaoifananisha na mikopo Ya elimu Ya Juu, wengine darasa katika shule. . . Nk. . .
Ngoja Mimi niiseme...
Wakuu heshima kwenu,
Humu najua ni wajuzi wa kuelimishana mambo mengi, Kufuatia mabadiliko ya kibiashara kwa sasa, biashara zimebuniwa nyingi za kuingiza vipato, naomba kujuzwa faida ya biashara...
Ndugu wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,kumekuwapo na fursa nyingi tu zinazopigiwa upatu kuhusiana uwekezaji huu wa bitcoin au bet za tatu mzuka na biko ,hivyo nlikuwa naomba...
Na Thadei Ole Mushi.
Huwa nacheka sana ninapoona mawaziri wetu wakikimbizana na Ruge mikoani kuzindua kitu kinachoitwa Fursa. Najiuliza pale Mlimani wanafundisha nini? Najiuliza pale SUA...
Kwanza niombe radhi kwa uandishi wangu wa kijeuri ambao naamini wengi wenu hamkufurahishwa katika posti ya kuombwa kuuziwa gari la milioni tano ambalo naamini nimelikosa kwa sababu ya kauli na...
Wenye mapenzi ya biashara mliopo mikoaa hiyo mnaawezaa kupiga pesa na kupata milioni kwa mwezi ila mtaji uwe milioni 8-10 ndo utaweza Fanya Mwenye shida ya kujua na Mwenye mtaji aje pm
Pengo baina ya matajiri wakubwa na watu wa kawaida lilipanuka zaidi mwaka jana kwa mujibu wa shirika la Oxfam.
Asilmia 82 ya fedha zilizotengenezwa mwaka jana zilikwenda kwa asilimia moja tu ya...
Habari wana jamii forums,
Napenda kuwataarifu kuwa kwa wale wanaotembelea jukwaa la Mjasiriamali Desk, wanachama/wasio wanachama sasa wanaweza kutembelea jukwa hilo kwa urahisi sana kupitia simu...
Nasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho.
Ewe mwenye vipesa vyako...
Huenda zimeshaelezwa ila sio kwa maneno mepesi sana.
Hizi hapa ukizifuata hakika unatusua vema sana popote duania!
1. Uwepo wa soko
~ Kwamba biashara hio unayotaka kufanya vipi ina soko? Jijibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.