Waliowahi kuwa au Wenye Biashara za Stationery SINGIDA au mikoa jirani soma hii.

PistolGang

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
392
44
Habari zenu wadau?
Mimi ni mjasiliamali naishi Singida.

Natafuta mtu mwenye stationary au aliefunga biashara hiyo ila ana mashine ya kutolea copy ya ziada au haitumi.

Nahitaji kukodisha au tuingie mkataba niwe namfungia hesabu au aniuzie then malipo yawe kwa installment kwa muda wa miezi sita na kuendelea maana sina cash ya mkupuo.

Nina ofisi yangu ambayo ninatoa huduma ya computer na stationery ila sina mashine ya kutolea copy tu ila vifaa vingine vipo, nimejipanga kwa muda fulani ili ninunue mashine ila mambo yakawa yanaingiliana. Hivyo natafuta mdau ndani ya Singida au mkoa jirani kama manyara, dodoma au tabora ambaye yupo tayari tukubaliane kwa hilo. Najua hatutoshindwana.

Napatikana Singida-Mjini, namba yangu ya simu ni 0684352398
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom